Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Kwaiyo amesomea kazi ya kuuza uji?
Ujinga wenu ni kuwa mnawaza kuajiriwa tuu, yan hamtaki kufanya chochote kile ,tulitegema taaluma zenu ziwasaidie hata kuanzisha miradi midogo midogo sio lazima muanzie juu
 
Kwa hiyo degree yako imeona wasomi tu ndo wanashindwa kulipa bills nchini? La saba wengi/wote wanalipa?
Wanashindwa lakini huwakuti wamekaa tuu, wanajishughulisha mtaani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeshangaa sana. Kuna vitu watu tunafanya kutafuta riziki ila hata sio vya kujivunia mbele za watu hadi kutolea mifano. Kuuza uji ni nini mbona hata asiyejua kusoma wala kuandika anaweza kuuza.
Point hapo sio kuuza uji , point ni kuanza kufanya chochote kitakachoweza kukupa kipato
 
Wanashindwa lakini huwakuti wamekaa tuu, wanajishughulisha mtaani
Kila mtu na namna yake ya kuishi, hata huyo aliyekaa tu ana target zake za kuishi. Kama asingekuwa na uhakika wa kula angeenda tu hata kubeba zege. Ukiona kakaa tu keshapiga hesabu zake kuhusu fursa zinazomzunguka kaona hazimlipi. Na kuhusu kuilalamikia serikali hilo halikwepeki, lazima italalamikiwa tu as long as madudu yapo. Ushahidi ni report ta cag, na sio wote wanailalamikia ili iwape tu ajira hapana, wanalalamika ili serikali ifanye equal distribution za resources
 
Afadhali umekubali mwenyewe kwamba manager hajuani na kila mtu hovyo hovyo, so unahitaji kujuana na HR kama dalali maana yeye(HR) ni rahisi kupatikana.

Hao dada zetu wanaoliwa wapo kwenye kundi moja na wewe mnaodhani HR ni mtu mkubwa sana, ndio maana wanaliwa, still wengi kazi hawapati baada ya mission kufeli kwa sababu HR hana ukubwa huo mnaodhani anao.

Sasa wewe ndiyo uendelee kukaza fuvu maana ukweli umeshaujua na utakua unapingana na kauli yako mwenyewe.
 
Kuilalamikia serikali ni kwa kila mtu haijalishi hali ya kiuchumi, hata ukienda kwa matajiri wanailalamikia pia ni haki yao huwezi kuwazuia
 
Hahahahah kwamba uji ndio umempa million 7 za kufungulia saluni. Kaa kijanja wewe ogopa sana hizo success stories za watoto wa kike πŸ˜€
 
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Mkuu wewe ukiomba kazi barua yako hua unaandika kwenda kwa Nani Boss wa Kampuni au HR? Emu tuanzie hapo maana Leo nimekutana na fuvu jipya

Tuanze na hiyo hapo niliyo attach.

Mimi nitaandika kwenda kwa CENTRE MANAGER, wewe utaandika kwenda kwa HR?

Baada ya hapo ndiyo utajua kwamba wewe ni fuvu la aina gani 😁 😁 😁 😁
 
Mwana huu ni umbea sasa
 
Ujinga wenu ni kuwa mnawaza kuajiriwa tuu, yan hamtaki kufanya chochote kile ,tulitegema taaluma zenu ziwasaidie hata kuanzisha miradi midogo midogo sio lazima muanzie juu
Kuna point gani kwa mtu aliyesomea sheria kulima mboga mboga?

Au mtu aliyesomea uhasibu kufuga kuku?
 
Kuna point gani kwa mtu aliyesomea sheria kulima mboga mboga?

Au mtu aliyesomea uhasibu kufuga kuku?
Nani kakwambia kua ni lazima mwanasheria alime mbogamboga au mhasibu afuge kuku

Hapa tunazungumzia afanye lililo ndani ya uwezo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…