Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Mkuu kuna msomi kakuvuruga nini? Maana umewaka hatari. Jikaze mkuu hukukatazwa kusoma na wewe. Usichojua kuhusu wasomi wengi wapo mtaan wanapiga mishe za kawaida sema wewe unataka uwaone na suti ndio ujue wasomi.
 
Kazi gani sasa unataka lakini wakati we mwenyewe hapo ni kazi tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve nimechekaa hadi machozi, sasa mbna hukuniambia mapemaaa?? Kumbe mie mwenyewe ni Fursa toshaa?? Hebu nichangamke sasa.
 
Tunashukuru kwa Kauli hizo. Tunaamini mnaowazodoa wasomi hamjaajiriwa na kama mmeajiriwa hamkuingizwa kwa vimemo. La sivyo Mwenye kuchekecha wanadamu atawaweka kwenye ngazi zenu na kashfa zenu.
 
Umenena.
 
Mkuu kuna msomi kakuvuruga nini? Maana umewaka hatari. Jikaze mkuu hukukatazwa kusoma na wewe. Usichojua kuhusu wasomi wengi wapo mtaan wanapiga mishe za kawaida sema wewe unataka uwaone na suti ndio ujue wasomi.
Hayo ni mawazo yako mkuu , Sina maana hiyo
 
Mtoa mada acha akili za mtoto za std 7,sasa wasipo lalamika kwa Serikali unataka wamlalamikoe nani?
Mmoja ya kazi ya Serikali ni kutengenez ajira kwa watu wake,kisha Serikali itumie maarifa ya watu wake kuongeza uzalishaji.

Tanzania kuna tatizo la ajira kutokana na kutokuwa na viwanda vya kutosha,na hiyo inatokana na Sera za Serikali na sio vinginevyo.
 
Tangu mmeanza kulalamika , mtupe feedback ya matunda ya malalamiko yenu
 
Kama ndo ulivyoelewa hivyo basi una wadudu kichwani
Wewe ndio una wadudu kazi ya kubeba zege ni unskilled labour haihitaji ujuzi wowote,MTU haiwezi kutumia muda na resources kisha abebe zege.

Bora ungeniambia wasomi wajikisanye waishinikize Serikali kubali Sera za kiuchumi ninhekuelewa.
 
Mnashindwa kuweka mazingira ya kukuza uchumi na ukuaji wa sekta binafsi mnaishia kufanya ufisadi, halafu leo unakuja na kejeli kwa vijana wa kitanzania walioelemika na kukosa ajira ambao wamekuwa wahanga wa wizi wenu wa kulamba asali na kujipimia kwa urefu wa kamba na kuvimbewa matumbo utadhani mmebeba maputo, shwain!!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…