tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Nzuri kabisa kabisa.Nzuri kabisa habari za kwako
Una enjoy kuku tu mwenzetu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri kabisa kabisa.Nzuri kabisa habari za kwako
Bad nitakuchek through email ndugu yanguNaweza ndyooo.
Niliinjoi kwakweli kuku na nyama ya mbuzi kule...nilishahama kitambo sanaNzuri kabisa kabisa.
Una enjoy kuku tu mwenzetu hapo
Ooooh sawa mkuu.Enjoy hapoNiliinjoi kwakweli kuku na nyama ya mbuzi kule...nilishahama kitambo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve nimechekaa hadi machozi, sasa mbna hukuniambia mapemaaa?? Kumbe mie mwenyewe ni Fursa toshaa?? Hebu nichangamke sasa.Kazi gani sasa unataka lakini wakati we mwenyewe hapo ni kazi tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ouk sawaahBad nitakuchek through email ndugu yangu
Pamoja rafiki yanguOuk sawaah
Umenena.Udhaifu mkubwa wa sera ya Chama Cha Mapinduzi.
Yaani kule ulaya Kila mwezi wanatunza data za Unemployment rates na kupush vijana kwa kuwapa back-up inayoweza wasaidia eidha wajiendeleze au waishi wakisubiri ajira zingine.
Ila kwetu hakuna data za Unemployment rates za Kila mwezi, hatujui watu unemployed wako wangapi watengeneze sera za kuwaalika foreign investors wajenge viwanda vya kuwaajiri vijana, Leo hii kijana anatoka na 4.5 GPA tena honourable anakaa mtaani na ideas zake murua alizopambania miaka yote zikipotea bila matumizi yoyote alafu Serikali inashinda inanunua ma-V8 na kutengeneza miradi ambayo ndani yake kuna upigaji wa ajabu yalioanikwa na CAG, si Bora hizo pesa wawape vijana ambao hawaajajiliwa ila wanareport taarifa zao pale National Bureau of Statistics huku wakiendelea kusaka ajira zingine.
Hii kitu Cha "Kujiajiri isiwe ndo hoja ambayo Serikali inaitumia kupoteza vijana kufikia ndoto zao".
Imagine mtu anatoka chuo, anadaiwa almost 10 million na HESLB, Hana ajira, kaamua kujiajiri, bado hajakutana na wale wa TRA pasua kichwa, Kuna wengine wanatoka chuo hawana kitu, walikuwa wanalisha familia zao masikini, je mtawapa mtaji?
Mikopo hii ya Samia imejaa nepotism na corruption, kama wewe huna mtu wa CCM kama connection, hupati utapoteza muda sana.
SERIKALI IKAE CHINI NA KUANZA KUKUSANYA DATA WAONE UNEMPLOYED WANGAPI WAWEZE KULITATUA TATIZO, EIDHA WAPUNGUZE MAKODI YA AJABU WAWARUHUSU FOREIGN INVESTORS WAJE.
Ameeen!!Pamoja rafiki yangu
Hayo ni mawazo yako mkuu , Sina maana hiyoMkuu kuna msomi kakuvuruga nini? Maana umewaka hatari. Jikaze mkuu hukukatazwa kusoma na wewe. Usichojua kuhusu wasomi wengi wapo mtaan wanapiga mishe za kawaida sema wewe unataka uwaone na suti ndio ujue wasomi.
Tangu mmeanza kulalamika , mtupe feedback ya matunda ya malalamiko yenuMtoa mada acha akili za mtoto za std 7,sasa wasipo lalamika kwa Serikali unataka wamlalamikoe nani?
Mmoja ya kazi ya Serikali ni kutengenez ajira kwa watu wake,kisha Serikali itumie maarifa ya watu wake kuongeza uzalishaji.
Tanzania kuna tatizo la ajira kutokana na kutokuwa na viwanda vya kutosha,na hiyo inatokana na Sera za Serikali na sio vinginevyo.
Wewe ndio una wadudu kazi ya kubeba zege ni unskilled labour haihitaji ujuzi wowote,MTU haiwezi kutumia muda na resources kisha abebe zege.Kama ndo ulivyoelewa hivyo basi una wadudu kichwani