Wasomi kutwa kulalamika ajira hakuna, kwanini usitafute kipaji serikali haiwezi kuwaajiri wote

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Soma ata ufundi mbona unalipa ,uvivu tu kelele kibao ajira hakuna kwaio serikali iajiri wangapi? Use brain
Emu pitia hizo kozi za ufundi tena ada himilivu kabisa
 
Attachments

Mkuu viongozi wa nchi hii kutwa kuhamasisha vijana wajiajiri ila wao nafasi zao wameng'ang'ania hawataki kuachia, yupo radhi hata atumie mtutu wa bunduki kuua wanaotaka wa mharibie ugali wake!, kama wanaona kujiajiri ni kwepesi si waachie ngazi waje kitaa waone moto wake.
 
Tafuta fani hela ipo
 
Soma ata ufundi mbona unalipa ,uvivu tu kelele kibao ajira hakuna kwaio serikali iajiri wangapi? Use brain
Emu pitia hizo kozi za ufundi tena ada himilivu kabisa
Mnawakopesha kwa nini ,kama hamna mipango endelevu ya kuwakwamua, wapeni mitaji sasa, kweli serikali haiwezi toa ajira kwa wote ,hata kuwawezesha mitaji mnashindwa? Why baka uchaguzi mnakimbilia huko kuna nini ,tena mkilipana posho na mishahara kemu kemu, je watoto wenu/wao wanayapitia yale mtoto wa familia maskini wanapitia?
 
Soma ata ufundi mbona unalipa ,uvivu tu kelele kibao ajira hakuna kwaio serikali iajiri wangapi? Use brain
Emu pitia hizo kozi za ufundi tena ada himilivu kabisa
Serikali siyo mwajiri mkuu wa raia bali setrikali inatakiwa itengeza mazingira yanayosababisha raia wapate ajira za aina mbali mbali. Soma historia ya Singapore iliyokuwa slums tupu wakati wanapata Uhuru mwaka 1965 raia wake wakiwa wanakula mara moja tu kwa siku kutokana na umaskini lakini leo hii hakuna raia ambaye hana makazi mazuri na kazi nzuri.
 
Mkuu viongozi wa nchi hii kutwa kuhamasisha vijana wajiajiri ila wao nafasi zao wameng'ang'ania hawataki kuachia, yupo radhi hata atumie mtutu wa bunduki kuua wanaotaka wa mharibie ugali wake!, kama wanaona kujiajiri ni kwepesi si waachie ngazi waje kitaa waone moto wake.
Haya ndio matatizo ya kukalili na sio kuelimika. Mtu anaambiwa ajiajiri anaona anaonewa.
 
serikali haiwezi toa ajira kwa wote ,hata kuwawezesha mitaji mnashindwa?
Vijana na wazazi wenu vichwa panzi, mnataka kubebwa bebwa mkitiwa vidole msilalamike. Kila leo halmashauri zinatoa mitaji vijana hamtaki kuomba, kazi kulalamika.
Maisha yako jukumu lako.
 
Serikali siyo mwajiri mkuu wa raia bali setrikali inatakiwa itengeza mazingira yanayosababisha raia wapate ajira za aina mbali mbali. Soma historia ya Singapore iliyokuwa slums tupu wakati wanapata Uhuru mwaka 1965 raia wake wakiwa wanakula mara moja tu kwa siku kutokana na umaskini lakini leo hii hakuna raia ambaye hana makazi mazuri na kazi nzuri.
Maisha yako jukumu lako.
 
Maisha yako jukumu lako.
huna akili wewe..huyajui maisha kujiajiri vijana wanajiajiri na wanapambana tena sana lakin wanatengenezewa mazingira rafiki? Ya kujikwamua au ndo mitaji yao inaendelea kudidimizwa? Aliyekwambia wanategemea serikali iwape ajira ni nani? Hyo ni ikitokea.
 
Vijana na wazazi wenu vichwa panzi, mnataka kubebwa bebwa mkitiwa vidole msilalamike. Kila leo halmashauri zinatoa mitaji vijana hamtaki kuomba, kazi kulalamika.
Maisha yako jukumu lako.
acha kubwabwaja mdomo wewe we unajua yanayoendelea kwenye Halmashauri? au nawewe ni mmoja ya wanufaika..Pesa kweli ndio zinakuja wanaanza kupata mkopo ni wale jezi ya kijani, masalia kama yatabaki ndo wenzangu na mimi ambao hatufungamani na upande wowote..na tena hata vijana wengine wanasikia tu kuna pesa zilifika zimekopeshwa kwa vijana..
 
Kuna wasomi au wakariri notes,,,msomi ni mtu anaeweza kubadilisha elimu yake na kumpa michongo
 
Serikali siyo mwajiri mkuu wa raia bali setrikali inatakiwa itengeza mazingira yanayosababisha raia wapate ajira za aina mbali mbali. Soma historia ya Singapore iliyokuwa slums tupu wakati wanapata Uhuru mwaka 1965 raia wake wakiwa wanakula mara moja tu kwa siku kutokana na umaskini lakini leo hii hakuna raia ambaye hana makazi mazuri na kazi nzuri.
Na kazi nzur au na kazi yenye kipato kizuri!
 
Back
Top Bottom