Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Huu ndiyo ubaya wa kufikiri kutumia Matako!!!Kwahyo hivo vibabu vya kiyahud unataka vikuhudumie mwenyw tu?
Kizur kula na wenzio
Huu ndiyo ubaya wa kufikiri kutumia Matako!!!Kwahyo hivo vibabu vya kiyahud unataka vikuhudumie mwenyw tu?
Kizur kula na wenzio
Kwani nafanya biashara isionendana na mtaji wangu? Nimeandika mambo mengi + kodi uliyokuwa unatetea hapo kwanini usisome ukanisaidia jinsi ya kuendana na system?Fanya biashara inayoendana na mtaji wako.
Kwenye iyo frame unauza nini.
Ati mtu mtu anajiita saa 7 mchana , kuna mtu kweli hapa , ni kivuli tu kipo jf , waona umeyapatia ,kiama kinakuja juu yenu ,asema BwanaVijana na wazazi wenu vichwa panzi, mnataka kubebwa bebwa mkitiwa vidole msilalamike. Kila leo halmashauri zinatoa mitaji vijana hamtaki kuomba, kazi kulalamika.
Maisha yako jukumu lako.
Najua ujasoma maoni ya uzi mpaka mwisho. Soma mpaka mwisho afu urudi hapa.
Mjinga tu ,nisome mpaka mwisho ili iweje , akili yako nimeipima nakujua hakuna kitu , leo unazungummzia pesa kwenye Halmashauri, je umewahi jaribu na kuona ukiritimba ulio huko?Najua ujasoma maoni ya uzi mpaka mwisho. Soma mpaka mwisho afu urudi hapa.
Soma hii 👇👇👇Mjinga tu ,nisome mpaka mwisho ili iweje , akili yako nimeipima nakujua hakuna kitu , leo unazungummzia pesa kwenye Halmashauri, je umewahi jaribu na kuona ukiritimba ulio huko?
Izo pesa za halmashauri mimi ni mnufaika na wala sikua mboga mboga kama unavyodhani. Na kunakikundi kilichokua kimeundwa na vijana wa mboga mboga Kata tukajua wao ndio watakuwa wa kwanza kupata ila tulishindwa kuamini maana licha ya kikidhi vigezo awamu ile walikosa kabisa.
Idadi kubwa ya vijana na wanawake waliomba ni darasa la saba na kidato cha nne na wengi tayari wanajishughulisha mtaani masokoni, vijana bodaboda, waendesha bajaji.
Ila hao wajinga wajinga wanaojiita wasomi wasiokua na taarifa kama hizi kazi kulalama kama mashoga.
Kwahyo unataka tuyatumie kama kitega uchumi kama wewe?Huu ndiyo ubaya wa kufikiri kutumia Matako!!!
4 7mbatizaji soma na hiiBig harakati za kuomba mikopo ya halmashauri kikundi chetu tulianza kuomba mwaka 2018.. Kila mwaka tulishiriki mchakato bila mafanikio. Mungu si athumani andiko letu la 2024 likatoboa na kupewa mzigo. Hapo ni zaidi ya miaka mi5 tupo Limbo
Endelea kutangaza USHOGA wako tu!!Kwahyo unataka tuyatumie kama kitega uchumi kama wewe?
Mazingira ya Tanzania unaweza kubadili elimu yako kuwa fursa lakini ni ngumu sanaKuna wasomi au wakariri notes,,,msomi ni mtu anaeweza kubadilisha elimu yake na kumpa michongo
Kuna wasomi au wakariri notes,,,msomi ni mtu anaeweza kubadilisha elimu yake na kumpa michongo
Fungeni shule zote na vyuo vikuu.. Badala yake mtupe THT za kutosha na VETA za kutosha.. Hapo ndo tutaongea lugha moja. Mwisho wa siku mtakua mnatibiwa geleji.Soma ata ufundi mbona unalipa ,uvivu tu kelele kibao ajira hakuna kwaio serikali iajiri wangapi? Use brain
Emu pitia hizo kozi za ufundi tena ada himilivu kabisa