Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Ukishiba kiporo kwa shemeji yako,acha kuropoka ropoka
Kwahiyo ulivyobahatika tu ndio uje ututolee sisi mapovu! Hujui kila mtu anapambana na ana njia zake?Big harakati za kuomba mikopo ya halmashauri kikundi chetu tulianza kuomba mwaka 2018.. Kila mwaka tulishiriki mchakato bila mafanikio. Mungu si athumani andiko letu la 2024 likatoboa na kupewa mzigo. Hapo ni zaidi ya miaka mi5 tupo Limbo
Hahahaha... kwa maoni yako finyu.
Unajiita msomi na hujui kila muhamala unatakiwa ukatwe kodi. Wewe ni msomi kweli?Basi kama ni hivyo tukifungua vibanda vyetu kwanini mnatuomba na kodi, yani kidogo tulichonacho mnakitaka pia aisee!
Muhamala ndio nini? Nikatwe kodi kwa mtaji upi? Msomi umenisomesha wewe?Unajielewa kweli wewe?Unajiita msomi na hujui kila muhamala unatakiwa ukatwe kodi. Wewe ni msomi kweli?
Hahaha na mapangashaaItoshe kusema mtoa mada unakatwa
Nchi yetu hii mkuu hatuna namnaBig harakati za kuomba mikopo ya halmashauri kikundi chetu tulianza kuomba mwaka 2018.. Kila mwaka tulishiriki mchakato bila mafanikio. Mungu si athumani andiko letu la 2024 likatoboa na kupewa mzigo. Hapo ni zaidi ya miaka mi5 tupo Limbo
Samani kumbe wewe ni mabasi ya njano wenzio kidum na mfagio hatakuandika hatujui. My badMuhamala ndio nini? Nikatwe kodi kwa mtaji upi? Msomi umenisomesha wewe?Unajielewa kweli wewe
Mabasi ya njano ndio nini?Samani kumbe wewe ni mabasi ya njano wenzio kitum na mfagio hatakuandika hatujui. My bad
Kila transaction inatakiwa ukatwe kodi. Elewa neno inatakiwa
wadanganye wasiojua..pesa zinatolewa yule ni ndugu wa diwani wa kijan au yule huwa ni mpambe wa kijan..asilimia 98 waliopo kwenye kikundi wamepenyezwa we unataka kusema nini?Izo pesa za halmashauri mimi ni mnufaika na wala sikua mboga mboga kama unavyodhani. Na kunakikundi kilichokua kimeundwa na vijana wa mboga mboga Kata tukajua wao ndio watakuwa wa kwanza kupata ila tulishindwa kuamini maana licha ya kikidhi vigezo awamu ile walikosa kabisa.
Idadi kubwa ya vijana na wanawake waliomba ni darasa la saba na kidato cha nne na wengi tayari wanajishughulisha mtaani masokoni, vijana bodaboda, waendesha bajaji.
Ila hao wajinga wajinga wanaojiita wasomi wasiokua na taarifa kama hizi kazi kulalama kama mashoga.
Mabasi ya njano ndio nini?
Unahisi mi f@la sijui kama kuna kukatwa kodi? Nimekuuliza hiyo mitaji Ambayo watu wanasota kuipata na ni midogo kwanini serikali iwakate kodi wakati imewataka wajiajiri wenyewe? Biashara zenye mitaji midogo kodi zake zinaumiza sana maana ndio kwanza mtu anajitafuta hata mzunguko wake haujakaa sawa anaanza kukatwa na serikal iiliyomwambia ajiajiri na haijampa mtaji!
Wewe mnufaika sijui kwanini unakuwa mgumu kuelewa🤦🏽♀️
Unachosema ni sahihi kabisa.Mabasi ya njano ndio nini?
Unahisi mi f@la sijui kama kuna kukatwa kodi? Nimekuuliza hiyo mitaji Ambayo watu wanasota kuipata na ni midogo kwanini serikali iwakate kodi wakati imewataka wajiajiri wenyewe? Biashara zenye mitaji midogo kodi zake zinaumiza sana maana ndio kwanza mtu anajitafuta hata mzunguko wake haujakaa sawa anaanza kukatwa na serikal iiliyomwambia ajiajiri na haijampa mtaji!
Wewe mnufaika sijui kwanini unakuwa mgumu kuelewa🤦🏽♀️
Siwezi kuendana na mfumo! Sanasana ntaishia kukandamizwa tu.. mtaji wangu wa laki5 nilipie pango, kodi, service levy,sijui uchafu, bado kuna umeme.. halafu uniambie niendane na mfumo? Hapo ntakuwa nanyonywa tu na sitoacha kulalamika ata kama sioni matokeo!Unachosema ni sahihi kabisa.
Swali moja kwako, kati ya wewe na mfumo kipi ni rahisi kubadilika.
Wewe ubadilike uendane na mfumo au Mfumo ubadilike uendane na wewe?
Fanya biashara inayoendana na mtaji wako.Siwezi kuendana na mfumo! Sanasana ntaishia kukandamizwa tu.. mtaji wangu wa laki5 nilipie pango, kodi, service levy,sijui uchafu, bqdo kuna umeme.. halafu uniqmbie niendane na mfumo? Hapo ntakuw ananyonywa tu na sitoacha kulalamika ata kama sioni matokeo!
Hu mpumbavu , fanya utafiti kabla ya kwabatuka , pitia wizara na mashirika ya umma, then njoo kama walioko huko sio kwamba wamebebwa bewa tu kwa vimemo, leo mtoto wa maskini inakuwaje nongwa mwezesha mtaji , pumbavu.Vijana na wazazi wenu vichwa panzi, mnataka kubebwa bebwa mkitiwa vidole msilalamike. Kila leo halmashauri zinatoa mitaji vijana hamtaki kuomba, kazi kulalamika.
Maisha yako jukumu lako.
Najua ujasoma maoni ya uzi mpaka mwisho. Soma mpaka mwisho afu urudi hapa.Hu mpumbavu , fanya utafiti kabla ya kwabatuka , pitia wizara na mashirika ya umma, then njoo kama walioko huko sio kwamba wamebebwa bewa tu kwa vimemo, leo mtoto wa maskini inakuwaje nongwa mwezesha mtaji , pumbavu.
wewe hapo ulipo jitafakari unabebwa kwa mangapi?
Kwa ujinga wenu Oct 29,2025 mlikuwa mnabwabwa "Kazi na Utu" mara "Mama Mitano tena"
Kwahyo hivo vibabu vya kiyahud unataka vikuhudumie mwenyw tu?Kwa ujinga wenu Oct 29,2025 mlikuwa mnabwabwa "Kazi na Utu" mara "Mama Mitano tena"
Sasa hivi mnalia nini kwa ujinga na upumbavu wenu mnafikiri Israel wanataka Mazombi kama ninyi? Nendeni kwa uarabuni tu.!!!