Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Vijana na wazazi wenu vichwa panzi, mnataka kubebwa bebwa mkitiwa vidole msilalamike. Kila leo halmashauri zinatoa mitaji vijana hamtaki kuomba, kazi kulalamika.
Maisha yako jukumu lako.
Hizo pesa za halmashauri mwenyew nazisikia tu, kuna watu tumeandaa nao project tumeandika kila kitu kuhusu huo mradi lakini mwaka umekata hakuna majibu ya kueleweka! Ni utapeli tu hakuna lolote!acha kubwabwaja mdomo wewe we unajua yanayoendelea kwenye Halmashauri? au nawewe ni mmoja ya wanufaika..Pesa kweli ndio zinakuja wanaanza kupata mkopo ni wale jezi ya kijani, masalia kama yatabaki ndo wenzangu na mimi ambao hatufungamani na upande wowote..na tena hata vijana wengine wanasikia tu kuna pesa zilifika zimekopeshwa kwa vijana..