Vijana na wazazi wenu vichwa panzi, mnataka kubebwa bebwa mkitiwa vidole msilalamike. Kila leo halmashauri zinatoa mitaji vijana hamtaki kuomba, kazi kulalamika.
Maisha yako jukumu lako.
Hizo pesa za halmashauri mwenyew nazisikia tu, kuna watu tumeandaa nao project tumeandika kila kitu kuhusu huo mradi lakini mwaka umekata hakuna majibu ya kueleweka! Ni utapeli tu hakuna lolote!acha kubwabwaja mdomo wewe we unajua yanayoendelea kwenye Halmashauri? au nawewe ni mmoja ya wanufaika..Pesa kweli ndio zinakuja wanaanza kupata mkopo ni wale jezi ya kijani, masalia kama yatabaki ndo wenzangu na mimi ambao hatufungamani na upande wowote..na tena hata vijana wengine wanasikia tu kuna pesa zilifika zimekopeshwa kwa vijana..
Basi kama ni hivyo tukifungua vibanda vyetu kwanini mnatuomba na kodi, yani kidogo tulichonacho mnakitaka pia aisee!Maisha yako jukumu lako. Vijana wanaojiita wasomi wakukalili na wazazi mazezete mnasubiri kupakatwa
Izo pesa za halmashauri mimi ni mnufaika na wala sikua mboga mboga kama unavyodhani. Na kunakikundi kilichokua kimeundwa na vijana wa mboga mboga Kata tukajua wao ndio watakuwa wa kwanza kupata ila tulishindwa kuamini maana licha ya kikidhi vigezo awamu ile walikosa kabisa.Pesa kweli ndio zinakuja wanaanza kupata mkopo ni wale jezi ya kijani, masalia kama yatabaki ndo wenzangu na mimi ambao hatufungamani na upande wowote..na tena hata vijana wengine wanasikia tu kuna pesa zilifika zimekopeshwa kwa vijana..
We research yako unafanyia wapi mzee, watu wanapambana eti! Hao bodaboda umewahi kuwauliza kama wote ni 4m4?Izo pesa za halmashauri mimi ni mnufaika na wala sikua mboga mboga kama unavyodhani. Na kunakikundi kilichokua kimeundwa na vijana wa mboga mboga Kata tukajua wao ndio watakuwa wa kwanza kupata ila tulishindwa kuamini maana licha ya kikidhi vigezo awamu ile walikosa kabisa.
Idadi kubwa ya vijana na wanawake waliomba ni darasa la saba na kidato cha nne na wengi tayari wanajishughulisha mtaani masokoni, vijana bodaboda, waendesha bajaji.
Ila hao wajinga wajinga wanaojiita wasomi wasiokua na taarifa kama hizi kazi kulalama kama mashoga.
... kwa maoni yako finyu.Maisha yako jukumu lako.
Saa 7 mchana naona unajianika kabisaVijana na wazazi wenu vichwa panzi, mnataka kubebwa bebwa mkitiwa vidole msilalamike. Kila leo halmashauri zinatoa mitaji vijana hamtaki kuomba, kazi kulalamika.
Maisha yako jukumu lako.
Mtego huo mkuu hii nchi ina vibwanga kibaoBasi kama ni hivyo tukifungua vibanda vyetu kwanini mnatuomba na kodi, yani kidogo tulichonacho mnakitaka pia aisee!
Mkuu siku hizi unafanya sana hip hop 🔥We kumbe ni mpumbavu, ufundi ni kipaji kuanzia lini?
jifunze maana ya kipaji na ujuzi mamako
We research yako unafanyia wapi mzee, watu wanapambana eti! Hao bodaboda umewahi kuwauliza kama wote ni 4m4?
Punguza jazba. Nimezungumzia vikundi nilivyoomba navyo mimi kwenda kata yangu. Ni watu ambao wengi tumekuwa wote tumesoma wote, wengine waliamia tukiwaona.We research yako unafanyia wapi mzee, watu wanapambana eti! Hao bodaboda umewahi kuwauliza kama wote ni 4m4?
Wanatuchoshaa!!Mtego huo mkuu hii nchi ina vibwanga kibao
wangese ka hawa dawa ni kuwapiga spana juu ya spana, mpaka waki zidiwa waseme yes bana.Mkuu siku hizi unafanya sana hip hop 🔥
Sanaa mkuu wangeyapitia haya tunayoyapitia sidhani kama wangeongea ujinga huuWanatuchoshaa!!
Ukisoma ninavyoandika na wewe nani mwenye jazba? Niandike kwa jazba nina ugomvi na wewe? Unajiandikia wewe andika historia yako sasa usitusemee wote hufanyi/hujaomba mikopo yako halmashauri za nchi nzima!Punguza jazba. Nimezungumzia vikundi nilivyoomba navyo mimi kwenda kata yangu. Ni watu ambao wengi tumekuwa wote tumesoma wote, wengine waliamia tukiwaona.
Sasa wewe endelea kukalili sijui research research.
Sisi tupo sait kwa pesa za halmashauri View attachment 3527268
Unamaanisha?Saa 7 mchana naona unajianika kabisa
Eti kabahatisha kamradi tayari anajikuta ni chosen, anaanza kutukana watu humu, ila waTz jamani🤦🏽♀️Sanaa mkuu wangeyapitia haya tunayoyapitia sidhani kama wangeongea ujinga huu
Caliber ya vijana ufanana.Ukisoma ninavyoandika na wewe nani mwenye jazba? Niandike kwa jazba nina ugomvi na wewe? Unajiandikia wewe andika historia yako sasa usitusemee wote hufanyi/hujaomba mikopo yako halmashauri za nchi nzima!
Si kweliCaliber ya vijana ufanana.
Inahitaji kuvumilia shombo zao wanazoongeaEti kabahatisha kamradi tayari anajikuta ni chosen, anaanza kutukana watu humu, ila waTz jamani🤦🏽♀️
NutshelUnamaanisha?
Big harakati za kuomba mikopo ya halmashauri kikundi chetu tulianza kuomba mwaka 2018.. Kila mwaka tulishiriki mchakato bila mafanikio. Mungu si athumani andiko letu la 2024 likatoboa na kupewa mzigo. Hapo ni zaidi ya miaka mi5 tupo LimboSanaa mkuu wangeyapitia haya tunayoyapitia sidhani kama wangeongea ujinga huu
Eti kabahatisha kamradi tayari anajikuta ni chosen, anaanza kutukana watu humu, ila waTz jamani🤦🏽♀️
Wanatuchoshaa!!