Pre GE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni fursa nzuri lakini sio kwa Tz hii ya ccm.
why?

ni fursa kwa wote sio kwa chama cha siasa fulani pekee....

unaelewa Chadema waliwahi kuwachochea vijana wao mahiri huko mtaani wagombee nafasi hizi na kwa sehemu walifanikiwa baadae wakapoteana sijui wap.....

hata yule meya sijui alikuaga wa manispaa gani pale dar alikuaga ana midevu hivi, alikua kijana ila sifahamu nae kama amesoma. Na bila ya kua diwani asingekua kitu....

tazama hata Jery Slaa, bila kua diwani, kisha akawa meya na sasa ni waziri haingewezekana kuaminika kwa Rais na kupewa jukumu kubwa na zito kama lile but ni expirience ya kaz alizowahi kufanya huko chini kwa wanainchi :DisGonBGud:
 
Masikioni muda wote wanawasikiliza wasafini fm 😄

Ova
polepole wanabadolika,
hata wanasiasa tunaskiza sana magoma motomoto kama vile 100kilos ya Ferre Gola :pedroP:
 
Sifa za kuchaguliwa ni kujua kusoma na kuandika hili nalo ni tatizo
siku tukiongeza kigezo cha diploma au digrii basi vita ya wasomi na wasio wasomo itaibuka hapo, wasio na kigezo hicho hawatakubali kupuga kura kwasababu hawataamini kuongozwa na mtu alie na sifa za wengine kisha itakua fujo:whatBlink:

ukiweka kigezo cha diploma au digrii huku chini, lazima hiyo diploma na hiyo digrii viwe ni universal free education ili asiwepo wa kushindwa kuipata:NoGodNo:
 
Huwezi kuwa kiongozi wa watu wengine kabla hujaweza kujiongoza wewe mwenyewe na familia yako (kama unayo).
Matokeo ya kuwapa uongozi watu wasioweza kujiongoza ni pamoja na kununuliwa, kuunga mkono juhudi na hata kuuza raslimali za nchi kwa wageni.
Kanuni ya kwanza ya kuwa kiongozi lazima ajitawale binafsi, awe na shughuli ya kumuingizia kipato na makazi ya kudumu (fixed aboard).
Ili kupata maendeleo endelevu, lazima tupate viongozi kwa misingi hiyo.
Wakati mwingine wawe watu wanaojitolea kwa hali na mali kupigania nchi au eneo, ikiwa ni pamoja na mapinduzi dhidi ya maadui wa uma wa walio wengi.
 
siku tukiongeza kigezo cha diploma au digrii basi vita ya wasomi na wasio wasomo itaibuka hapo, wasio na kigezo hicho hawatakubali kupuga kura kwasababu hawataamini kuongozwa na mtu alie na sifa za wengine kisha itakua fujo:whatBlink:

ukiweka kigezo cha diploma au digrii huku chini, lazima hiyo diploma na hiyo digrii viwe ni universal free education ili asiwepo wa kushindwa kuipata:NoGodNo:

Mbona Kwenye ajira kiwango cha chini cha elimu ili uajiriwe serikali ni ni kidato cha nne .
Yaani ili uajiriwe kama mhudumu wa ofisi ni lazima uwe Na elimu ya kidato cha Nne. Ila ili uwe viongozi wa kuchaguliwa Mbunge,Diwani,Mwenyekiti ni ujue kusoma Na kuandika huu ni UPUMBAVU.
Yaani mhudumu wa ofisi anamzidi elimu bosi wake Mbunge.
Pale.bungeni wafanyakazi wote wa Bunge kuanzia wahudumu, madereva,ma karani wasaidizi ,walinzi,wapishi mamesenja wote hao wamewazidi elimu wabunge akina Babu tale ,msukuma
Tena Kwa.mbali hii ni aibu
 
aibu utaendelea kua nayo wewe pekeyako🐒

but settled principles and standards Lazima zizingatiwe tunapojaribu kupendeza changes. Hata hivyo mihemko si kitu cha maana sana, ila jambo la muhimu zaidi ni vijana, hususani waliosota zaidi ya miaka mi5 town kusaka ajira....

Ni muhimu sana kujitokeza kwa wingi kuomba nafasi za uongozi serikali za mitaa na baadae 2025 udiwani 🐒
 
why?

ni fursa kwa wote sio kwa chama cha siasa fulani pekee....

unaelewa Chadema waliwahi kuwachochea vijana wao mahiri huko mtaani wagombee nafasi hizi na kwa sehemu walifanikiwa baadae wakapoteana sijui wap.....

hata yule meya sijui alikuaga wa manispaa gani pale dar alikuaga ana midevu hivi, alikua kijana ila sifahamu nae kama amesoma. Na bila ya kua diwani asingekua kitu....

tazama hata Jery Slaa, bila kua diwani, kisha akawa meya na sasa ni waziri haingewezekana kuaminika kwa Rais na kupewa jukumu kubwa na zito kama lile but ni expirience ya kaz alizowahi kufanya huko chini kwa wanainchi :DisGonBGud:
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom