Baba Linah
Member
- Aug 29, 2021
- 15
- 29
Umeongea ukweli tujipambanie ila tu kikubwa tukipata nafasi tusije kujisahau tukaanza kejeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
why?Ni fursa nzuri lakini sio kwa Tz hii ya ccm.

siku tukiongeza kigezo cha diploma au digrii basi vita ya wasomi na wasio wasomo itaibuka hapo, wasio na kigezo hicho hawatakubali kupuga kura kwasababu hawataamini kuongozwa na mtu alie na sifa za wengine kisha itakua fujoSifa za kuchaguliwa ni kujua kusoma na kuandika hili nalo ni tatizo


siku tukiongeza kigezo cha diploma au digrii basi vita ya wasomi na wasio wasomo itaibuka hapo, wasio na kigezo hicho hawatakubali kupuga kura kwasababu hawataamini kuongozwa na mtu alie na sifa za wengine kisha itakua fujo
ukiweka kigezo cha diploma au digrii huku chini, lazima hiyo diploma na hiyo digrii viwe ni universal free education ili asiwepo wa kushindwa kuipata![]()
aibu utaendelea kua nayo wewe pekeyako🐒Mbona Kwenye ajira kiwango cha chini cha elimu ili uajiriwe serikali ni ni kidato cha nne .
Yaani ili uajiriwe kama mhudumu wa ofisi ni lazima uwe Na elimu ya kidato cha Nne. Ila ili uwe viongozi wa kuchaguliwa Mbunge,Diwani,Mwenyekiti ni ujue kusoma Na kuandika huu ni UPUMBAVU.
Yaani mhudumu wa ofisi anamzidi elimu bosi wake Mbunge.
Pale.bungeni wafanyakazi wote wa Bunge kuanzia wahudumu, madereva,ma karani wasaidizi ,walinzi,wapishi mamesenja wote hao wamewazidi elimu wabunge akina Babu tale ,msukuma
Tena Kwa.mbali hii ni aibu
Hapo nimekuelewa mkuuwhy?
ni fursa kwa wote sio kwa chama cha siasa fulani pekee....
unaelewa Chadema waliwahi kuwachochea vijana wao mahiri huko mtaani wagombee nafasi hizi na kwa sehemu walifanikiwa baadae wakapoteana sijui wap.....
hata yule meya sijui alikuaga wa manispaa gani pale dar alikuaga ana midevu hivi, alikua kijana ila sifahamu nae kama amesoma. Na bila ya kua diwani asingekua kitu....
tazama hata Jery Slaa, bila kua diwani, kisha akawa meya na sasa ni waziri haingewezekana kuaminika kwa Rais na kupewa jukumu kubwa na zito kama lile but ni expirience ya kaz alizowahi kufanya huko chini kwa wanainchi![]()