Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Hata wao walifanya occupation, kwahyo acha wawe occupied
 
Nashukuru sana mkuu. Kama una na ya Palestina kuisaidia Tanzania uiweke ili tuone ni wapi tunakofaidi zaidi.
 
Kama kuwa Taifa teule ni kinga dhidi ya uvamizi, basi mitume na manabii wa Mungu wa Kweli wasingeuliwa na watu waovu.
 
Alivyopinga Bandari mkamuona siyo mwenzenu!! Amewatetea magaidi wa Hamas sasa mnamuona ndo mwenzetu mkaamua kumweka Na. 1 kwenye orodha.

Nyie wazee wa Kobaz iko tatizo kubwa sana
 
Palestina kuisaidia Tanzania ni hakuna mkuu
Kama ndivyo, itakuwa ni upumbavu kumzira "rafiki" anayekusaidia kisa amegombana na jirani yake.

Tanzania isijaribu kuuvunja uhusiano na Israeli.

Na siyo Israeli tu, bali na nchi nyingine yoyote ambayo tuna maslahi nayo, hata kama ni Korea Kaskazini.
 
watakuwa wanafiki sana kama ndani yake hawatalaani mashambulizi waliyoyafanya hamas kwa wanawake na watoto wa kiyahudi. na hawamuwakilishi kila mtu Tanzania wajue.
 
Mazwazwa ndio haya sasa
 
Hawa ni wapumbavu tuu hawana tofauti wendawazimu, yani nchi nyingi tuu za kiafrika zina migogoro na vita hadi majirani zetu hawajawahi kutoa hata tamko la kulaani na kukemea, Leo hii mambo ya mashariki ya mbali wanajikuta yamekua yao washenzi kabisa hao 😡😡
 
Umefuatilia waisrael nao walimfanyaje Yizak Rabin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…