......walikuwa wapi Hamas terrorists walipovamia picnic wakaua maharusi.....Mkuu, nafikiri kuna typing error kwenye post yako. Au mimi ndiyo sijaelewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......walikuwa wapi Hamas terrorists walipovamia picnic wakaua maharusi.....Mkuu, nafikiri kuna typing error kwenye post yako. Au mimi ndiyo sijaelewa?
Hata wao walifanya occupation, kwahyo acha wawe occupiedAlichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.
Nashukuru sana mkuu. Kama una na ya Palestina kuisaidia Tanzania uiweke ili tuone ni wapi tunakofaidi zaidi.Hadi sasa Israeli wanasaidia Tanzania kufundisha vijana utaalamu wa kisasa kabisa wa kilimo..
Vijana 260 kujifunza kilimo Israel - HabariLeo
SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Israel wameendelea na jitihada za kukuza ujuzi kwa vijana kwenye sekta ya kilimo, ambapo takribani vijana 260 wanapelekwa nchini Israel kupata mafunzo ya kilimo. Lengo kubwa la kuwapeleka vijana hao nchini Israel ni pale watakaporudi waweze kujiajiri na...habarileo.co.tz
Nimekusoma kiongozi🙏......walikuwa wapi Hamas terrorists walipovamia picnic wakaua maharusi.....
Palestina kuisaidia Tanzania ni hakuna mkuuNashukuru sana mkuu. Kama una na ya Palestina kuisaidia Tanzania uiweke ili tuone ni wapi tunakofaidi zaidi.
Ni hapo ndipo walikokosea, kutokubalance.Ni maoni yao hatuwapingi ila wange balance story mana hamasi ni magaidi na waliua na kuteka raia.
Na Sudan nako pia kuna vita, mpaka imebidi baadhi wanafunzi wa udaktari wa Sudan kuhamishiwa Muhimbili University Tanzania.Umesahau Congo kuna vita, South Sudan kuna vita, Ethipia kuna vita, Ukraine kuna vita
Kama kuwa Taifa teule ni kinga dhidi ya uvamizi, basi mitume na manabii wa Mungu wa Kweli wasingeuliwa na watu waovu.Eti Taifa teule, hivi huu ujinga mtauacha lini nyie Kuku wa zabanga?
Taifa teule linapokea msaada wa kijeshi? Taifa teule linavamiwa na watu wake kuuwawa kama Kuku wasiokuwa na jinsia?
Kila mtu ni mteule wa Mungu, ondoeni huo ukoloni-mbuzi! Mbuzi wee
Alivyopinga Bandari mkamuona siyo mwenzenu!! Amewatetea magaidi wa Hamas sasa mnamuona ndo mwenzetu mkaamua kumweka Na. 1 kwenye orodha.Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.
Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.
Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.
NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.
Tamko lao ni hili hapa chini.
Kama ndivyo, itakuwa ni upumbavu kumzira "rafiki" anayekusaidia kisa amegombana na jirani yake.Palestina kuisaidia Tanzania ni hakuna mkuu
watakuwa wanafiki sana kama ndani yake hawatalaani mashambulizi waliyoyafanya hamas kwa wanawake na watoto wa kiyahudi. na hawamuwakilishi kila mtu Tanzania wajue.Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.
Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.
Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.
NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.
Tamko lao ni hili hapa chini.
Mazwazwa ndio haya sasaHuku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.
Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.
Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.
NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.
Tamko lao ni hili hapa chini.
Wameshawauwa Hamas wangapIsrael anapambana na Hamas apambani na wapalestina thus anafumua kambi za magaidi
2000Wameshawauwa Hamas wangap
Hao wamasai wameshauliwa wangapi na hayo madege ya kivita?Wasomi uchwara Wamaasai wa Ngorongoro wananyanyaswa wapo kimya.
Ukisikia ipunguani ndio huu,mambo ya waarabu yanatuhusu nini ?.
Pole sanaTakataka Hao,, Bandari ilikuwa inabinafsishwa Wako kimya,,msumbiji magaidi yanaua Watu Wako kimyaaaa,, Nigeria Boko Haram wanatesa Watu Wako kimyaaaa..takataka kabisaaa
Umefuatilia waisrael nao walimfanyaje Yizak Rabin?Occupation ya wapi? Arafat na Itzak Rabin walikubaliana kwenye Oslo Accords 1993 kuanzisha taifa la Palestine na wote wagawane makao makuu yawe Jerusalem. Palestine wachukue East Jerusalem na Israel achukue West Jerusalem. Hao Hamas wakamwekea kauzibe Arafat wao wakitaka Israel ikabidi Jerusalem yote, makubaliano yakaishia hapo.