Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Alichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.
Hata wao walifanya occupation, kwahyo acha wawe occupied
 
Hadi sasa Israeli wanasaidia Tanzania kufundisha vijana utaalamu wa kisasa kabisa wa kilimo..
Nashukuru sana mkuu. Kama una na ya Palestina kuisaidia Tanzania uiweke ili tuone ni wapi tunakofaidi zaidi.
 
Eti Taifa teule, hivi huu ujinga mtauacha lini nyie Kuku wa zabanga?

Taifa teule linapokea msaada wa kijeshi? Taifa teule linavamiwa na watu wake kuuwawa kama Kuku wasiokuwa na jinsia?

Kila mtu ni mteule wa Mungu, ondoeni huo ukoloni-mbuzi! Mbuzi wee
Kama kuwa Taifa teule ni kinga dhidi ya uvamizi, basi mitume na manabii wa Mungu wa Kweli wasingeuliwa na watu waovu.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Alivyopinga Bandari mkamuona siyo mwenzenu!! Amewatetea magaidi wa Hamas sasa mnamuona ndo mwenzetu mkaamua kumweka Na. 1 kwenye orodha.

Nyie wazee wa Kobaz iko tatizo kubwa sana
 
Palestina kuisaidia Tanzania ni hakuna mkuu
Kama ndivyo, itakuwa ni upumbavu kumzira "rafiki" anayekusaidia kisa amegombana na jirani yake.

Tanzania isijaribu kuuvunja uhusiano na Israeli.

Na siyo Israeli tu, bali na nchi nyingine yoyote ambayo tuna maslahi nayo, hata kama ni Korea Kaskazini.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
watakuwa wanafiki sana kama ndani yake hawatalaani mashambulizi waliyoyafanya hamas kwa wanawake na watoto wa kiyahudi. na hawamuwakilishi kila mtu Tanzania wajue.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Mazwazwa ndio haya sasa
 
Hawa ni wapumbavu tuu hawana tofauti wendawazimu, yani nchi nyingi tuu za kiafrika zina migogoro na vita hadi majirani zetu hawajawahi kutoa hata tamko la kulaani na kukemea, Leo hii mambo ya mashariki ya mbali wanajikuta yamekua yao washenzi kabisa hao 😡😡
 
Occupation ya wapi? Arafat na Itzak Rabin walikubaliana kwenye Oslo Accords 1993 kuanzisha taifa la Palestine na wote wagawane makao makuu yawe Jerusalem. Palestine wachukue East Jerusalem na Israel achukue West Jerusalem. Hao Hamas wakamwekea kauzibe Arafat wao wakitaka Israel ikabidi Jerusalem yote, makubaliano yakaishia hapo.
Umefuatilia waisrael nao walimfanyaje Yizak Rabin?
 
Back
Top Bottom