Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

Of course uko right unachosema. sisi wasomi tunaona kama ana inferiority complexes
 
KICHAA AKIKIMBIA NA NGUO ZAKO MWACHE TU AKOLEZE UKICHAA WAKE USIMKIMBIZE.
 
Watu wengi wanamuelewa sana Musukuma maana wenye akili ndogo kama zake Tanzania ni 70%.Na hata mule Bungeni wenye akili ndogo wamo ndo maana utasikia anagongewa meza wakati anaongea mashudu yake!.
 
Kama na wewe ni msomi naanza kuona Msukuma yupo sahihi kwamba kuna watu ni trash. Ingawa kwa Prof Muhongo anakosea sana. Wewe ni aibu na cheti chako cha journalism unajiita msomi.
 
Msomi uliye na mwandiko kama wa Mwanafunzi wa chekechea. Jifunze uandishi mzuri ili ujulikane nawe ni miongoni mwa waliosoma.
 
Kilaza kama wewe huwezi niuliza swali nikashindwa

Siulizwagi maswali na watu wa darasa la saba. Tafuta size yako Mzee sawa?

Unachoweza ku-share na mimi ni vichekesho vyako, sawa Mzee!!
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwa elimu yake hiyo hiyo ya Standard VII King Msukuma ana weledi mkubwa juu ya masuala ya madini kuliko tunawaita wasomi.

Nilichojifunza kwa nchi yangu Tanzania, ukiambiwa fulani ni msomi basi tambua na kiwango chake cha upumbavu kilichozidi ukomo.
 
Malanyingi sana wajinga wanapenda waonekane waelevu.
Ilikuficha ujinga wao, ujikweza na kuwasimanga wengine.
 
Kama na wewe ni msomi naanza kuona Msukuma yupo sahihi kwamba kuna watu ni trash. Ingawa kwa Prof Muhongo anakosea sana. Wewe ni aibu na cheti chako cha journalism unajiita msomi.

Napenda vioja vyenu darasa la saba

Msukuma yupo sahihi kwani yeye ni mchekeshaji na lengo lake kuu ni burudani pale bungeni

Hakuna mwenye akili atakayemchukulia sirius mchekeshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…