Tuliaminishwa sisi tumesoma kumbe usomi wa Bongo ni wa kawaida kabisa "Critics and Arguments"ya Kibaji na Msukuma imewaondolea kabisa Maprofesa heshima Zao
Hebu soma thread yako ya awali...Siku ukiangalia stand up comedy ndio utaelewa nilichoandika
Kwa sasa nipokee pole yako tuu
Hebu soma thread yako ya awali...
Spelling mistakes hata kwa maneno ya Kiswahili zipo rundo, uandishi mbovu, mpangilio wa mawazo ni sifuri... Halafu unajiita msomi... Akina sisi tusio wasomi tusemeje?... Kama wasomi ndo mpo hivi 🤣
Jf imejaa wapuuzi kwakweli, tofauti na mambo ya bikra sijawahi kukuta umetoa mada za msingi
Msukuma anadharauliwa na wapuuzi tu, ukiachilia mbali utoto wake hua ana hoja za msingi kuzidi hata hao wasomi.
Sijawahi kujiita msomi au kujisifia usomi humu ndaniNani kamdharau Msukuma Na wewe!!!
Kumuita mtu mchekeshaji ni kumdharau?
Hicho ni kipaji alichojaliwa
Wewe umeandikaninj cha maana humu JF?
Wasomi wa Tanzania ndio Wasomi pekee duniani wasiojua kuandika na kutamka herufi sahihi zinazotakana na lugha Mama, yani lugha yao ya asili waliyozaliwa nayo.Hari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.
Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.
Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.
Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.
Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Sijawahi kujiita msomi au kujisifia usomi humu ndani
Sasa wewe unaejisifia usomi halafu huna hata mada moja ya msingi humu ndani tukueleweje
Au unataka tuthibitishe vp usomi wako?
Wasomi wa Tanzania ndio Wasomi pekee duniani wasiojua kuandika na kutamka herufi sahihi zinazotakana na lugha Mama, yani lugha yao ya asili waliyozaliwa nayo.
etu msomi anasema BIRA, TUNAFULAHISHWA, anandika neno la kiingereza SIRIUS, LASMI,ATUFULAHISHE,ANAAKILI.
Kama haitoshi, msomi anaandika neno ''wasomi''
Namna yako ya Uandishi,,darasa la saba BHari yenu humu!
Bira shaka mpo wazima.
Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi.
Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, 😀😀😀😀 hapo atajifanya anaakili sana mpaka kuwazidi Maprofesa.
Napenda utani na mzaha wake kwa Mapolopesa.
Napendekeza Msukuma atafutiwe menejimenti na lasmi aingie kwenye industry ya uchekeshaji.
Msukuma atafutiwe kipindi kwenye Tv walau cha dakika 15 atufulahishe na vioja vyake.
Msukuma nakubali kipaji chako hapo bungeni
Ntafanya hivyo hakika.Unakuja na ID mpya 😅 😅
Unajianzishia na uzi wa kujiulizia!
Everyday is Saturday................................😎
🤣🤣🤣🤣... We jamaa... Nimenyoosha mikono juu asee...Jinsi ulivyouona muandiko wangu ndivyo ninavyomuona Msukuma na kundi lake
Yaani wanachekesha na kufanya futuhi kama mwandiko wangu
Siwezi elezea jambo la kipuuzi kwa kutumia akili ya kisomi
Crap!Kwa hiyo akili yako ilivyo ndogo ukaona siwezi andika kiswahili fasaha?
Huo musukuma aenderee kutoha buludani bugeni
Sema na hapo sasa, sawa Mzee
Unadhani ni mbeba mabox kama wewe na mtumwa wa ukabila?We nawe ni msomi?
Msomi wa nini wewe?