Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 178
"
Imefikia wakati ambapo badala ya kumbeza rais wangu inabidi nianze kumsikitikia kwa kuwa ana safari ndefu, urais ni kazi ngumu.
I think UDOM ipo for political credits,ila inasikitisha sana kuona wasomi wetu ndo wanakuwa majuha number one,any way,kuna mtu alisema vilaza wanaokosa chance UDSM hufanya UDOM ndo kimbilio lao,nilikuwaga siamin,..ila kwa hili...ninin kitanizuia nisiamin hivyo...
BobbyNi kweli Luteni, kuna thread moja hapa sikumbuki ilikuwa ni ya nini, Mwanakijiji alisema amefika stage anahisi kama tunamwonea rais. Niko na feeling hiyo hiyo mimi pia, frankly ninahisi kana kwamba tunamuonea mr president. Kuna vitu kwa kweli anaviongea halafu masikio yangu yanagoma kupokea kwamba no hajasema pamoja na kwamba ni kwenye luninga na ninamwona kwa macho yangu. Wale madaktari wa Cuba i doubt majibu yao kwa kweli.
Unajuwa nimefika mahali ninashindwa kuimagine hivi Kikwete asiyekuwa na serikali (mawaziri, makatibu wakuu na wengineo),washauri lukuki, usalama wa taifa, jeshi, chama tawala na mengineyo yasiyo na idadi anafananaje? Huyu mtu ana hizi organs zote nilizotaja na nisizotaja kumfanya ajuwe exactly what's going on na ni kipi cha kusema na kufanya ili nchi hii iende mbele lakini still kila siku ni kutusononesha tu tuliomchagua. Kwa wale tunaoamini Mungu kama mimi nadhani ipo haja ya kumwomba Mungu sana katika hili jambo, its more than serious.
its more than serious.
Niko Dodoma jamani; it was not that big and am sure wengi wao sio UDOM students kwani wawili wanatoka mtaani I know them!
Kwa kauli zako na Lugha yako (kiingereza cha mtaani), ni dhahiri kwamba wewe siyo Nkunya tunayemfahamu.
Si vizuri kutumia majina halisi ya mtu fulani wakati wewe siye. Maana unaweza kumharibia mtu sifa yake na kumgombanisha na watu wake wa karibu. Napendekeza moderator achunguze kwa makini uhalisia wa jina hili.
Lakini kwa upande wa hoja yako ya wasomi kumuunga mkono Kikwete, napenda kuungana na wewe kwamba wasomi walipaswa kuwa ndiyo chachu ya mabadiliko. Maana wakulima kule vijijini, pamoja na shida zote wanazopata, wakiona wasomi wamemuunga mkono Kikwete, hawatakuwa na lingine tena.
Lakini pia ni jambo zuri kutambua kwamba hawa ni wanaCCM, hawana lingine la kufanya zaidi ya hilo la kuunga mkono kinafiki. Ukikaa nao mmoja mmoja utakuta wanalalamika, lakini wakiwa katika chama wanalazimika kufanya hayo wanayoyafanya. Ni haki na wajibu wao.
Nadhani hukufanya sahihi kutumia maneno makali kiasi hiki.
Jamaa anayo hoja ya msingi, juu ya jina la mwanaJF mwenzetu. M.M. Nkunya siku alipojiunga wengi tulisisimka na binafsi niliamua kumuuliza kama ni M.M.Nkunya tunayemjua (huenda wewe humjui ila alikuwa Chief Academic Officer wa UDSM kwa muda mrefu, baada ya hapo (mpaka sasa nadhani) ni CEO wa Tanzania Commission of Universities. Kutokana na madaraka yake huyu ni mtu muhimu ktk jamii. Jamaa kaona lugha iliyotumika haiwezi kutumiwa na Prof. M.M.Nkunya.
Nami naonelea kuwa si vema kutumia jina la mtu mwingine (kama unatumia nick name). Itakuwa si vema mtu akijitokeza jamvini kujiita J.K. Kikwete au M.L. Luhanga au I.H. Lipumba nk. Haya ni mawazo na mapendekezo binafsi, wala hakuna haja ya kuitana wajinga.
Kushindwa kujitambua na kujitegemea, cheap students. Na mtaendelea kununulia kwa bei ndogo hadi siku zenu za maisha yenu yenu na hata vitukuuu vyenu.
Umesahau Tumaini University, Iringa College. Bonge la Chuo with competent graduates!
Akili ileile ya utegemezi..
Halafu hizo kompyuta zitawashwa na nyasi au udongo? Umeme wenyewe coverage iko less than 15 % na hakuna plans za kuongeza capacity.