Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

Mmmmm! Yaan kutokujua computer tu ndio wanakuwa vilaza? Kwel bado tuna safari ndefu
 
Sahihi kabisa.
 
Wa vyuo vya kata ndio mna past papers
Kwani PAST inamaanisha nini

Hakuna chuo kisichokuwa na pastpaper kama ulisoma chuo kisicho na pastpaper hiko sio chuo ni choo
 
Shida inawezakua ni matumizi mabaya ya computer, unakuta mtu ana laptop badala ya kujifunza zile programmes za kumsaidia ofisini anacheza gamea, anangalia movie, anatumia sana mitandao ya kijamii kwa mambo ambayo hayana tija na maswala ya masomo.
Hakuna mwanachuo anayemiliki Computer then hajui kutumia Office Program especially Word

Tuandike uharisia basi sio kuandikaandika Kama wapumbavu
 
Duh ni ajabu sana maana almost graduates wote wakiwa wana pursue degree zao assignments karibu zote wanazifanyia wenye computer, na wengi wana laptops zao za bei ya kariakoo. Kitu ambacho nakubaliana na wewe ni kwamba watu wengi wanashindwa kujaza online forms sijui kwanini.
 
Kwani PAST inamaanisha nini

Hakuna chuo kisichokuwa na pastpaper kama ulisoma chuo kisicho na pastpaper hiko sio chuo ni choo
Labda choo chenu mkuu. Chuo unapataje past papers, wakati mitihani ikiisha maswali hukusanywa, hvo vyuo vyenu vya uchochoroni ndo Kuna past papers
 
Hoja yako haijakaa vizuri. Ndo mana ata vyuo vinatoa miez miwili adi mitatu wanafunz waende kijifunza waliyosoma kwa vitendo(field).

Mwanafunz aliyetoka chuo ambaye ajawa experience ya kaz ndo Mara ya kwanza kuwa ofisn kwanza atakuwa na uwoga flan kazin kabla hajazoea, kingine hawez kujua kila kitu kinavofanyika ndo mana hupuwa msimamiz wake(instructor), ambaye kazi yake kumwelekeza na kumsaidia anapokwama au akiwa na shida.

Field ni kwajili ya kujifunza na kupata uzoefu wa kazi. Ungefanya jambo la maana kama ungewasaidi pale wanapokwama..
 
Kwahyo babu we unaona haya maisha umeyapatia sana sio? Vp ww unajua kila ktu hapa dunian ??and fact is, ulichosema wanaojua watakwambia n misguided reasoning kwan kutojua computer kuna prove mtu ni kiaz ama unataka kusemaje??
 
Sio hao tu unKuta anamiliki na laptop Ila anajua kucheza games za fifa na kuangalia movies tu ndo matumizi muhimu kwake.Wafuatilie tutorials ata youtube
 
Watanzania wengi hawako serious ,unakuta mtu anataka kuwa mwanasiasa lakini hataki kujisomea kuongeza maarifa
Hii ni mbaya sana mkuu. Kutopenda kusoma ni tatizo kubwa sana kwa watanzania wengi.

Kuna siku moja binamu yangu alinikuta ninasoma kitabu kimoja cha "hardcopy" akawa ananiuliza "sasa wewe unasoma nini wakati ulishamaliza chuo mwaka 2009"
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…