Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Kwa hiyo huyu moja wa IT ndo ana hakilisha wasomi wote au?Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamaa iwachukulie kama vile wamesoma sana.
Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu[emoji51] kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu kama mhamiaji haramu anayekaguliwa na afisa uhamiaji.
Nikasema hapa hakuna kitu,.
Hivi nyie vijana mnaenda chuo kufanya nini?
Jamaa kanishangaza sana!!!!Kupiga window chini ndiyo kipimo ulichoona kinafaa kuwapima wananavyuo?..
Mbona unatumia kipimo cha kienyeji sana kukejeli elimu?
Siyo wewe tu
Ukute na wewe advance ulisoma HKLKwa hiyo huyu moja wa IT ndo ana hakilisha wasomi wote au?
Saili za siku hizi hili swali sijakutana naloBinafsi nimekuwemo kwenye panels kadhaa za usaili unauliza swali jepesi tu kama TELL US ABOUT YOURSELF kwa Kimombo...the so called graduate anakula tu ulimi mwishowe mnaishia kumlima
Sio degree za mchongo jamani, hali ndiyo illivyo hata msiwalaumu.Halafu wanasema Ajira hakuna! Nani awaachie afisi na hizo Degree za mchongo.
Wewe haukusoma kwenye hivyo vyuo?Yaani ovyo tu, wengi wanaenda kusoma vyuoni kwa ajili ya kufuata mkumbo tu ili jamii iwachukulie kama vile wamesoma sana.
Ila huko chuoni aisee, ukiwaona utachoka. Yaan kichwani hakuna kitu😬 kuna mmoja alisoma IT nilimpa kazi ya kunipigia Windows 10 kwenye PC yangu,akabaki ananikodolea macho tu kama mhamiaji haramu anayekaguliwa na afisa uhamiaji.
Nikasema hapa hakuna kitu,.
Hivi nyie vijana mnaenda chuo kufanya nini?
Kama huamini nachokisema hapa ukionana na mtu yeyote wa chuo jaribu kumdodosa kwa vijiswali vya hapa na pale kuhusu kozi anayosomea huko chuo.
Watu wanachezea tu ada za wazazi ma walezi😰