Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam.
Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam
Mfano vita na migogoro ya urusi na ukrain na mashariki ya kati. Wasomi wa dini ya kiislam huwa hawabase, huwa wanatoa fact ambazo baade hutokea. Mfano wachambuzi wengi wa kiislam walitabiri anguko kubwa la USA mashariki ya kati baada ya kuingia ktk vita vya iran, na sote tunaona