mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Umenena.Waliowekwa mbele na CCM kuhakikisha Katiba mpya haipatikani ni wazee wawili...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena.Waliowekwa mbele na CCM kuhakikisha Katiba mpya haipatikani ni wazee wawili...
Huyu babu ni hopeless kabisa. Mtu tangu uhuru anang'ang'ana na vyeo halafu leo atataka kuamua hatma ya watanzania wa mwaka 2023. Ataondoka kama Nyerere na hakutakuwa na hayo anayotaka zaidi ya tunayoyataka sisi.Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika....
Wasira yeye ni nani? huwa anajiona bila yeye hakuna TanzaniaMzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Hapana, mimi Msukuma lakini siyo Sukuma Gang kama wewe ulivyo Mkinga lakini ni Sukuma Gang.Sukuma Gang!
Wote wao wanapeleka mbele maslahi yao tu ,tunamengi ya kufanya zaidi ya muungano na mamlaka ya raisMkuu una ji contradict sana, Hueleweki unasimamia msimamo upi?
Unawalaumu wanasiasa kwa ujumla, Ndani ya sentensi unailaumu chadema
Asante Mzee Wassira. Muundo wa dola ya Muungano ulifanyika mwaka 1964. 🙏🙏🙏Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Wewe ndiye hujitambui. Watafute uhuru gani zaidi ya huu walionao wa kuitafuna Tanganyika ya wajinga?!Tatizo Wazanzibar hawajitambui, vinginevyo wangeshajitafutia uhuru wake
Bado huyu Mzee hawezi kutofautisha kati ya maoni ya wananchi na sera za CCM?Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Manka na usukuma wapi na wapiVizee vichawi kama huyu kule kwetu usukumani tunapiga shoka tu
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Watanganyika hawaitaki tanganyika yao...
Mkuu una ji contradict sana, Hueleweki unasimamia msimamo upi?
Unawalaumu wanasiasa kwa ujumla, Ndani ya sentensi unailaumu chadema
Hivi unaweza kumtukana mzee mkubwa namna ile? Mna laana mpaka wajukuu zenu. Km huna hoja ya kujibu si ukae kimya.
…sio wapate …wapeweCha kwanza kabisa ni Chadema wapate wabunge wengi angalau 100 ili influence iwepo.
Huwezi pewa katiba mpya bila kupigana haswa
Sasa hiyo sera haina time frame...!?Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!