Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika....
Huyu babu ni hopeless kabisa. Mtu tangu uhuru anang'ang'ana na vyeo halafu leo atataka kuamua hatma ya watanzania wa mwaka 2023. Ataondoka kama Nyerere na hakutakuwa na hayo anayotaka zaidi ya tunayoyataka sisi.
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Wasira yeye ni nani? huwa anajiona bila yeye hakuna Tanzania
 
Mkuu una ji contradict sana, Hueleweki unasimamia msimamo upi?

Unawalaumu wanasiasa kwa ujumla, Ndani ya sentensi unailaumu chadema
Wote wao wanapeleka mbele maslahi yao tu ,tunamengi ya kufanya zaidi ya muungano na mamlaka ya rais

USSR
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Asante Mzee Wassira. Muundo wa dola ya Muungano ulifanyika mwaka 1964. 🙏🙏🙏
 
Tatizo Wazanzibar hawajitambui, vinginevyo wangeshajitafutia uhuru wake
Wewe ndiye hujitambui. Watafute uhuru gani zaidi ya huu walionao wa kuitafuna Tanganyika ya wajinga?!
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Bado huyu Mzee hawezi kutofautisha kati ya maoni ya wananchi na sera za CCM?
 
Wasira ndio msemaji wa CCM siku hizi? Aliufyata sana awamu ya 5
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
1676281887736.png

Kimya kingi kina mshindo mkuu
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Sasa hiyo sera haina time frame...!?

Waache huo ubabe. Nchi ni yetu sote. Watuachie wananchi tuamue tunataka serikali ngapi. Siyo wababe wa CCM.
 
Ccm huwa wanajiona ndo wenye hati miliki ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom