Sasa kama la kawaida unaumia nini sasa wewe bwegeUsiwe mjinga na mpumba.vu
Kufa ni jambo la lazima kwa kiumbe chochote kile
Magufuli aliwadanganya sana waTZMzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20. Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Magufuli aliwadanganya sana waTZMzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20. Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Kwa hiyo Magufuli alitupiga sana kwenye mikopo?
Linganisha utendaji na miradi in just five years. Where did you put your brain?Kwa hiyo Magufuli alitupiga sana kwenye mikopo?
Na angekuwa mpenda-mikopo, zile bilion dollars za corona 2020 mwaka juzi asingeziacha. Ndiye Rais pekee Afrika aliyependekeza nchi maskini zifutiwe madeni badala ya kukopeshwa tena na kuwaongezea mzigo mzito wananchi.Kwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.
Brilliant! THIS COMMENT IS UNDERRATED!Msisahau kutuambia maendeleo yaliyofanyika kwenye hizo trilion23, 20 na 29
Wengi hawalijui hili. Trillions za Mkapa au JK zina thamani kubwa zaidi kuliko pesa alizozikuta Anko wa Chato. Hapo bado haijazungumzwa namna ya utumiaji wa pesa husika.Miradi ya Magufuli ni mikubwa kuliko wakati wowote.
Mkopo wa Magufuli ni mdogo ukilinganisha na wa mkapa..hapo naongelea mda uliopita tangu mkopo wa Mkapa uchukuliwe. Time value for money
Labda kuchangia ujinga, maradhi & umaskini duniani!Pamoja na mbuga za wanyama,milima,mabonde,maziwa,bahari,mito,madini ya kila aina,ardhi yenye rutuba, gesi ,bado tunakopa tuuu!
Malaysia wanategemea bandari tu lakini uchumi wao upo juu sana
Hakika Waafrika hatuna tunachochangia kwenye maendelea ya dunia
....nadhani anajenga hoja kwamba awamu ya 5 imekopa fedha nyingi zaidi kuliko awamu zilizotangulia tena kwa kipindi cha miaka 5 tu ya uwepo wake...ina maana Tz hatutakiwi kukopa mpaka baada ya 2025.
Ona hii matakoKwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.
Uhuru wake wa kutoa maoni kwako wewe unauita 'kutumika'.Naona Mzee Wassira ama anatumika Kumsafisha Mtu au anataka Cheo au anawatafutia Wanae Fursa Serikalini na Chamani CCM kwani hata leo Asubuhi kama sijakosea alikuwa pia Magic FM na amewashutumu vilivyo wale wanaopinga Rais Samia na Serikali yake isikope na kuiingiza nchi katika Madeni mskubwa.
Aammke ajibukwahiyo? apumzike huyu mzee
Kwanini hakuwa Muwazi?Kwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.
He lived that principle.Lakini Magufuli alituambia anajenga uchumi kwa pesa za ndani na sio mikopo ya pesa za mabeberu.
Na ili chattle pawe kitovuni..Kwa kukopa hahahaaaa ili Chato Inter Airport Ijengwe