kuna picha ya wasira yupo na Nyerere nadhani ni miaka ya 70 ile,yani hawa wazee wapumzike tu,sasa imagine mtu alikuwa anapiga stories na Nyerere alafu bado tutegemee maoni yake leokwahiyo? apumzike huyu mzee
Hata ziwe trillion 15, kwani ni za kujengea hayo madude aliyoyaacha mwendazake, yaani unaamka asubuhi tu najenga kitu fulani, hizo ni akili?na mama atapata tabu sana, miaka yake 10, hataweza kuanzisha mradi wake mkubwa, haya ma SGR, BWAWA, DARAJA LA BUSISI, MAKAO MAKUU DODOMA!!Kazi ipo!!halafu jamaa , tunajenga kwa pesa zetu!!jamaa alikuwa muongo sana!!Miezi saba trillion ngapi?
Ungetuambia ni miradi gani iliyotumia Trilioni 29 kwa miaka 5, ingekuwa poa zaidi.Kwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.
Tuambie miradi yenye thamani ya Trilioni 29 iliyotekelezwa na kukamilika katika miaka mitano. Achana na mapato ya kodi na gawio la mashirika ya imma na pesa za pension za waliokuwa watumishi hewa/vyeti feki.Kwa hayati JPM , wala huhitajiki kua na Elimu ,ndo ujue ALIKOPA, NA AKAFANYA KAZI KWELIKWELI.
HILI ,HAMNA RAIS, NA TUKIKAA KIZEMBE, HAYUPO ATAKAYETUSOGEZA.
Hiyo miradi imekwisha?sana sana amewaachia watu majanga tu, huwezi kujiuliza kwanini miradi mingi kipindi chake ilikuwa ina sua sua sana, kila mradi uko nyuma ya muda wake kumaliziki?yaani miaka 5 ukope trilioni 29, hata kama ni time value 4 money sio hivyo!!na hilo deni la awamu ya 5 ndio maana watu wengi wanapenda lifanyiwe special auditing, kwani utaratibu wa matumizi ya pesa ilikuwa kama mtu anatumia pesa zake bar!!kiongozi anazunguka na fuko la pesa kugawa tu pale anapopenda!!ila MUNGU FUNDI.Miradi ya Magufuli ni mikubwa kuliko wakati wowote.
Mkopo wa Magufuli ni mdogo ukilinganisha na wa mkapa..hapo naongelea mda uliopita tangu mkopo wa Mkapa uchukuliwe. Time value for money
Hivi dunia ya watu wenye akili huko alikuwa na ushawishwi gani?mtu ambaye anaona demokrasia ya vyama vingi ni mkosi!!siasa za enzi za kupigania uhuru ndio uzi apply karne hii, lazima u fail tu!!Na angekuwa mpenda-mikopo, zile bilion dollars za corona 2020 mwaka juzi asingeziacha. Ndiye Rais pekee Afrika aliyependekeza nchi maskini zifutiwe madeni badala ya kukopeshwa tena na kuwaongezea mzigo mzito wananchi.
Kabisa, ilibidi iwe hivyo maana tungeuzwa kabisa....kwahiyo? apumzike huyu mzee
White elephant projects ambazo sasa zimesimama kwa sababu tuliwandanganya mabeberu tunafanyia nini hizo hela... na Mama kaambiwa hatukuongezi....sasa anatembeza bakuli kujaribu kuendeleza legacy....Linganisha utendaji na miradi in just five years. Where did you put your brain?
Zimesimama kwa sababu ya uzembe uzembe wa viongozi waliopo .hii nchi inatakiwa kiogozi wa kufutalia kwa ukaribu ukikaa kaa kizembe kuleteawa taarifa matokeo ndo hayoKabisa, ilibidi iwe hivyo maana tungeuzwa kabisa....
White elephant projects ambazo sasa zimesimama kwa sababu tuliwandanganya mabeberu tunafanyia nini hizo hela... na Mama kaambiwa hatukuongezi....sasa anatembeza bakuli kujaribu kuendeleza legacy....
ATCL? Stiegler's Gorge? Chato Airport? Dodoma Capital City?
Na za wakorea tumeona daraja sababu linawahusu....zingine zilienda wapi?
South Korea Agree USD 300 Million Loan to Tanzania
Tanzania and South Korea signed on 8th December 2020 the agreement for a USD 300 million concessional loans to finance development projects.www.tanzaniainvest.com
Katoe matongotongo kwanza ndio unijibu...Zimesimama kwa sababu ya uzembe uzembe wa viongozi waliopo .hii nchi inatakiwa kiogozi wa kufutalia kwa ukaribu ukikaa kaa kizembe kuleteawa taarifa matokeo ndo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
JPM alikuwa na miradi mingi ya kumukakati, umeme wa maji, sgr, mwendokasi, wigo wa barabara, ndege, bandari etc, pia Price index, inflation toka vipindi vyote, JPM yuko vizuri.Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Rest well our hero President John Pombe Magufuli
Rest well our hero President Benjamin William Mkapa
Msisahau kutuambia maendeleo yaliyofanyika kwenye hizo trilion23, 20 na 29
Kama hizo pesa alizitumia hovyo kujenga uwanja wa ndege Chato na kununua wapinzani inabidi tukope tena tu...ina maana Tz hatutakiwi kukopa mpaka baada ya 2025.
Sure, maana wengi kazi yao kuzodoa tu ma legend wetu.Rest well our hero President John Pombe Magufuli
Rest well our hero President Benjamin William Mkapa
Msisahau kutuambia maendeleo yaliyofanyika kwenye hizo trilion23, 20 na 29
Kumbuka ajira zilipigwa stop! So marndeleo at the expense of no ajira at all.Kwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.
Dont ever say our… .,just say my hero.
angekaa miaka10 sijui angekopa kiasi gani.miradi yake yote hata nusu haijafika sasa ingeisha si angekuwa amekopa trilion mia. Afu kwanini bila aibu adanganye kuwa hakopi ina maana huyu ana tabia za uongo na kazoea biblia inasema waongo wote sehemu yao ni katika ziwa la moto yani jehanamRest well our hero President John Pombe Magufuli
Rest well our hero President Benjamin William Mkapa
Msisahau kutuambia maendeleo yaliyofanyika kwenye hizo trilion23, 20 na 29