Mimi hayo yote sijali... ninachojali ni zile kauli zake kuwa tunatekeleza mamiradi kwa fedha za ndani!!! Yule mzee alikua mwongo sana!!Kama ni kweli Magufuli alikopa trillion 29 kwa miaka 5 , kuna uwezekano madeni yalichangia kifo chake!
Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Yeye Wasira alitumia kiasi gani kwa mambo yakE binafsi akiwa mtumishi wa umma ambayo hayana manufaa kwa walipa kodi, ikiwemo mikopo mikubwa kwenye bank za umma ambayo haijawahi kulipwa???Mzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Ivi Ndugai alipatwa na nini? ni kama vile katika kundi lao aliulizwa je waweza kumsema mama? yeye akajibu Ah... ni jambo jepes sana kwangu na yeye akajitutumua., sasa pamoja na radhi anazoomba wakongwe hawa kina Wasira wanaeka mambo hadharani kummaliza ndugaiMzee Wasira yupo Star TV Hivi sasa katika kipindi cha the Big Agenda anasema kwa miaka 10 kila mmoja cha Mkapa na Jakaya walikopa trillion 23 na 20 mtawalia.
Magufuli kwa miaka 5 alikopa trillion 29.
Kwani issue ni kukopa au matumizi ya mikopo imewanufaisha nini watanzania? Katika hao maraisi JP ndio raisi ambaye mikopo aliyochukua imeleta faida kubwa kea wananchi kwa kuwakikisha inaenda kwenye miradi iliyopangwa kwa wakati sambamba na kudhibiti ufisadi na Rushwa.
Tatizo lenu huwa hamtaki kujibu hoja!!hiyo miradi , ambayo ni mikubwa sana, sasa shujaa wenu alpokuwa anawaambia wananchi mniache kwanza siongezi mishahara, hakuna ajira, hadi nimalize hii miradi!!!na mama hana uwezo wa kuanzisha mradi mpya kwa sasa,Mbona unaongea kama mkata tamaa aliekutwa road kalewa chakalii
Shibe mwanamalevya!Ivi Ndugai alipatwa na nini? ni kama vile katika kundi lao aliulizwa je waweza kumsema mama? yeye akajibu Ah... ni jambo jepes sana kwangu na yeye akajitutumua., sasa pamoja na radhi anazoomba wakongwe hawa kina Wasira wanaeka mambo hadharani kummaliza ndugai
Aliyeanzisha hiyo mitreni ya kuwabeba wasukuma ni Magufuli, na hilo Stiegler's gorge Hydro Power ni yeye Magufuli. Kwa hiyo kwa akili yako finyu unataka Rais Samia aache hiyo miradi ife? Unajua kabisa hakuna pesa aliyobakiza Magufuli, kapeleka Chato, katumia vibaya na nyingine kaipeleka kujenga Dodoma kwa Ndugai. Kule HAZINA kakomba hasa. Unategemea pesa za kumalizia miradi itoke wapi?Miezi saba trillion ngapi?
Angalia ulivyo Choko ndiyo maana akafa
Ukila na kipofu usimshike mkono, by the way umemisika!!Ni kweli kabisa. Shida ni pale mlipokuwa mnatudanganya kuwa mnajenga kwa fedha za ndani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wanasiasa ukiwasikiliza unaweza kufikiri ni wakombozi. Kumbe hawana jipya. Kama mtu hana credibility kwa sababu ya mambo yake anayofanya, anapata wapi nguvu za kuongelea wengine? Ndio unafiki wenyewe.Mjadala hauhusiki na masuala binafsi!
Ulinganifu hafanywaji hivyo, bali ulinganifu unafanywa kwa thamianisha ela zote katika wakati mmoja uwe wakati uliopo (present value), wakati ujao (future value) ama wakati uliopita (Past value). Na hii uwezekana kwa kutilia maanani 'annuity factor' ambapo pia discount rates, inflation rates na kadhalika uhusishwa.Labda tuyabadilishe Haya matrilioni katika dollar tunaweza kupata uhalisia.Exchange rate dollar to TZS kipindi Cha Mkapa ilikuwa 350,JK ilikuwa 950,na Jiwe mpaka ànaelekea jongomeo ni 2330.