Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu, tena kuna wengine sasa hivi wanakula wadudu huko Dodoma. Lowassa aliposhindwa wakamcheka saana, wakadhani Lowassa atakuwa kama wao.MTU aliyeshabikia ccm kamwe hawez kuwa mwenzetu.wabomoe tuuuu
hahahaha a usijipe moyo wa plasticHapa ndipo napoukumbuka wimbo wa Upendo Nkone ... "Usifurahi juu yangu, eeewe adui yanguu, niangukapo mimi, nitasimama tenaaa! Ninapofukuzwa kazi, niombee; Nyumba yangu ikipigwa alama ya X, niombeee!"
walidhani tunaimbiwa sisi wataka mabadilikoWameipenda wenyewe!
Wacha waisome number.
Na zibomolewe tu
Hivi haka ka wimbo walidhani anaimbiwa nani???
ha kushindwa lowasa Aliibiwa kura... mm rais wangu ni yeye na kamwe sitawahi kuipigia ccm kuraKabisa Mkuu, tena kuna wengine sasa hivi wanakula wadudu huko Dodoma. Lowassa aliposhindwa wakamcheka saana, wakadhani Lowassa atakuwa kama wao.
Mwenzao ana pesa nyingi tuu, majumba kila mahali na chakula anarishwa na serikali mpaka leo.
so anataka Kiki sio....Wastara hana nyumba hizo nyumba anazosema ni za dada mmoja rafiki yake na ndio anayemuhifadhi Wastara anaitwa Naima namjua vzr huyo dada
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Sasa tumsaidi eje? Si ndiye alikuwa anakata uno hadi kuushitua mguu wake, kisa ccm!! Safi sana.