Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

inashangaza sana watu wanaposhangilia majanga ya mwenzao.
 
MTU aliyeshabikia ccm kamwe hawez kuwa mwenzetu.wabomoe tuuuu
Kabisa Mkuu, tena kuna wengine sasa hivi wanakula wadudu huko Dodoma. Lowassa aliposhindwa wakamcheka saana, wakadhani Lowassa atakuwa kama wao.
Mwenzao ana pesa nyingi tuu, majumba kila mahali na chakula anarishwa na serikali mpaka leo.
 
Hapa ndipo napoukumbuka wimbo wa Upendo Nkone ... "Usifurahi juu yangu, eeewe adui yanguu, niangukapo mimi, nitasimama tenaaa! Ninapofukuzwa kazi, niombee; Nyumba yangu ikipigwa alama ya X, niombeee!"
hahahaha a usijipe moyo wa plastic
 
Kabisa Mkuu, tena kuna wengine sasa hivi wanakula wadudu huko Dodoma. Lowassa aliposhindwa wakamcheka saana, wakadhani Lowassa atakuwa kama wao.
Mwenzao ana pesa nyingi tuu, majumba kila mahali na chakula anarishwa na serikali mpaka leo.
ha kushindwa lowasa Aliibiwa kura... mm rais wangu ni yeye na kamwe sitawahi kuipigia ccm kura
 
Wastara hana nyumba hizo nyumba anazosema ni za dada mmoja rafiki yake na ndio anayemuhifadhi Wastara anaitwa Naima namjua vzr huyo dada
 
Back
Top Bottom