binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Especially kama ana uwezo...... umejuaje kama mhusika muda wote anauwezo wa kusaidia watu? Au we mwenzetu huwa unakuwa na pesa au msaada muda wote? Kama sivyo iweje ukaconclude ambaye hajaatoa msaada ni mchoyo?Huwezi jua niko wap nnavo andika au nafanya nn i think msg yangu ume ielewa regardless of errors.
Yes! Especialky kama ana uwezo wa kusaidia. Ni mchoyo ila si lazima asiwe mchoyo.
Ukisoma hiyo stori fresh utagundua Diamond alifanya uchoyo. But na mimi namshauri wastara asi concentrate na alo mnyima msaada kwani si lazima kusaidiwa. A focus kwa alo mpa msaada.
Tatizo hata stori hujaisoma, AK mwenyewe hakuwa na kitu, ila alimwambia Wastara asubiri wakapige show ya Kenya akirud atampa atakacho pata. Wastara alisubiri jamaa alivo rudi akampa chochote. Diamond hata feedback hakurudisha kwa hiyo tusimsemee kama alikuwa hana. Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo lakini hatuna haja ya ku jadili mabaya ya diamond kwenye sehemu ya mazuri ya Ali Kiba.Especially kama ana uwezo...... umejuaje kama mhusika muda wote anauwezo wa kusaidia watu? Au we mwenzetu huwa unakuwa na pesa au msaada muda wote? Kama sivyo iweje ukaconclude ambaye hajaatoa msaada ni mchoyo?
Sijaisoma au unahisi sijaisoma? Hujajibu swali bado, mtu asiposaidia maana yake ni mchoyo? Kwanini? Mbona blah blah nyingiTatizo hata stori hujaisoma, AK mwenyewe hakuwa na kitu, ila alimwambia Wastara asubiri wakapige show ya Kenya akirud atampa atakacho pata. Wastara alisubiri jamaa alivo rudi akampa chochote. Diamond hata feedback hakurudisha kwa hiyo tusimsemee kama alikuwa hana. Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo lakini hatuna haja ya ku jadili mabaya ya diamond kwenye sehemu ya mazuri ya Ali Kiba.
HahahahaSijaisoma au unahisi sijaisoma? Hujajibu swali bado, mtu asiposaidia maana yake ni mchoyo? Kwanini? Mbona blah blah nyingi
Ila kusaidia si lazima pia.Aliye kusaidia yafaa asifiwe na apongezwe kwa wema wake tena alisaidia bila mapicha picha thats good.
Asiye kusaidia muache na uchoyo wake
After all unaitwa msaada ni kitu cha hiari hiko
Unauhakika taarifa ilimfikia Diamond na pili unaujua mfuko wa Diamond unashilingi ngapi,ujue sometime kama kitu hujui bora ukae kimya kuliko kumshuhudia mtu uwongo,kwani hujasikia upande wake Diamond anasemaje,alafu kwa nini Diamond kutomsaidia iwe nongwa ,yaani mnataka kuifanya ishu kubwa mbona wengine wasanii kibao hawajamsaidia,au ndio mnalazimisha Kiba akimsaidia Diamond naye LAZIMA amsaidie.Tatizo hata stori hujaisoma, AK mwenyewe hakuwa na kitu, ila alimwambia Wastara asubiri wakapige show ya Kenya akirud atampa atakacho pata. Wastara alisubiri jamaa alivo rudi akampa chochote. Diamond hata feedback hakurudisha kwa hiyo tusimsemee kama alikuwa hana. Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo lakini hatuna haja ya ku jadili mabaya ya diamond kwenye sehemu ya mazuri ya Ali Kiba.
Eeeh! Na mimi ndio maana nime mshauri angemshukuru tu AK halaf aka endelea na maisha.Ila kusaidia si lazima pia.
Labda kama lengo la huyu bidada ni kumlaumu mondi kwanini hajamsaidia.
Fuatilia tuliko toka na binti kiziwiUnauhakika taarifa ilimfikia Diamond na pili unaujua mfuko wa Diamond unashilingi ngapi,ujue sometime kama kitu hujui bora ukae kimya kuliko kumshuhudia mtu uwongo,kwani hujasikia upande wake Diamond anasemaje,alafu kwa nini Diamond kutomsaidia iwe nongwa ,yaani mnataku kuifanya ishu kubwa mbona wengine wasanii kibao hawajamsaidia,au ndio mnalazimisha Kiba akimsaidia Diamond naye LAZIMA amsaidie.
Sijapaniki, stori nimeisoma yote. Nimekuuliza muda wote huwa unakuwa na uwezo wa kutoa msaada au pesa? Umenipa mfano ati alikiba alienda kufanya show ili ampe wastara msaada je kama Diamond hakuweza kufanya chochote ili amempe msaada wastara? Ni lazima Diamond siku zote awe na uwezo wa kutoa msaada? Kama sivyo iweje aonekane mchoyo? Angalia maswali ya msingi ujibu.Hahahaha
Unapanic, ukitulia utanielewa.
Ukizungumzia mtu ni ishu general
Mimi ni sipo toa msaada naweza toa sababu ila si sawa na bakhressa asipo toa msaada he must provide really reasonable sababu.
Kwa hiyo na conclude kwa uwezo wa diamond, kuto msaidia Wastara ulikuwa ni UCHOYO kwa sababu uwezo huo alikuwa nao. Na wale wote ambao hatukuwa na uwezo Wastara hakutundikia barua kama alivo mwandikia diamond.
Narudia tena, Ungesoma stori hiyo unge nielewa.