Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima


haya ya babaake sasa una yaleta wewe,ilikua haitoshi kusema si mtu mzuri ukaina utie na mzee wake,ok tumekuelewa kua si mtu mzuri ila hili neno kabisa lina maana gani?samahani hiki ni kizazi cha kuhoji !!!
 
Msaada sio lazima! Huyu dada shule yake kichwani ikoje?
 
Kutomchangia mtu ndio kuzingua? Hapana bna.
Mchango sio lazima kumpa mtu ni hiyari ya mtu tu.
Inajulikana siku zote wastara ni team kibakuli. Kama kachangiwa na alikiba inatosha. Diamond hajamchangia mimi pia sijamchangia. Aint a big deal at all
Sasa kwa hiyo tim kiba akiwa ana umwa ndio hachangiwi!? Ina maana akifa Wastara, diamond asiende kwenyw msiba?.
You guys are taking things too serious.
Na ndio hapa sasa namuona diamond alikuwa mchoyo.
 
Sasa kwa hiyo tim kiba akiwa ana umwa ndio hachangiwi!? Ina maana akifa Wastara, diamond asiende kwenyw msiba?.
You guys are taking things too serious.
Na ndio hapa sasa namuona diamond alikuwa mchoyo.
Kwani lazima jamani??
Who is wastara in diamond's life??
 
Hahahah
Asee nu kazi sana mi nikijua hii kesi ijo wazi kabsaa!
Ni shda sana kusahihisha hawa nastaa wenye mashabiki kindaki ndaki
mtihani mkuu mashabiki huwa tunasahau kuw hao mastaa ni watu nahuwenda wakawa wanafnya makosa zaidi kuliko hat mashabiki wenyew ..ila kwakuwa mahaba ya metupatia upofu huwa tunadhani kuwa wanasifa ya umalaika
 
Kutomchangia mtu ndio kuzingua? Hapana bna.
Mchango sio lazima kumpa mtu ni hiyari ya mtu tu.
Inajulikana siku zote wastara ni team kibakuli. Kama kachangiwa na alikiba inatosha. Diamond hajamchangia mimi pia sijamchangia. Aint a big deal at all
Bora ukalale dada yangu huyo jamaa kubishana naye huwezi ana lake au alabda kwa mtazamo wake Diamond angemsaidia ndio angepona.
 
Mgonjwa kasema Mond aliambiwa na watu wake kwamba mwomba msaada ni tapeli. Kwa mantiki hiyo aliyepeleka taarifa kwa muhusika aliipeleka hasi kiasi kwamba mtoa msaada hawezi kuutoa kwasababu kuna watu wengi wa kuwasaidia na kama mpewa msaada watu wanahisi ni tapeli kwanini kuhangaika wanaacha wanaidia wengine kama lengo ni kusaidia.
 
Mi mwenyewe sina Imani na Wastara Sasa Hivi .... Maana Matukio yale ya kurewind Carnular yamenipotezea imani kwake
 
Yooooooh!!! Appreciate you man sio Mtu akitoa kamsaada basi dunia nzima ijue
 
Kitengo cha ukachero cha Diamond kinafanya kazi haswa kushinda cha mkulu jiwe... Kikatambua haraka kwamba Mama Sadifa anataka kuwaliza
 
Wastara alipewa na mkuu wa nchi Milioni 15 Za kutibiwa india je michango ya wengine shilingi ngapi ukichanganya na Miliion 15 na hizo pesa alizochangiwaga wastara alisema hazikutosha kwa matibabu uko india na watu walihoji kiko wapi cheti cha hospitali? Mpaka leo hajaonesha halafu aje aseme Dai hakunisaidia hata mimi nisingemsaidia kwa utapeli wake.
Michango ile anatumia kufungua duka la vibodozi looh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…