Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

Hao washenzi kutoka nje ndio chanzo cha chokochoko.Muda kama hao majenerali wanajua wanachopigania basi wangewashikilia mateka.Wakawaambia mutakufa pamoja nasi hapa.
Siyo kila watu ni wa kutekwa tu kirahisi...
Ulishawahi kusikia kilichotokea Entebbe huko nyuma pale Iddi Amin Dada alipokubali kuhifadhi mateka wa Israel waliokuwa mikononi mwa magaidi wa Kiarabu?!
 
Siyo kila watu ni wa kutekwa tu kirahisi...
Ulishawahi kusikia kilichotokea Entebbe huko nyuma pale Iddi Amin Dada alipokubali kuhifadhi mateka wa Israel waliokuwa mikononi mwa magaidi wa Kiarabu?!

Ngoja tuangalie tujikumbushe.Lakini sidhani kuwa ilikuwa ni ushujaa wa Israel pekee iliambatana na ujinga wa vikosi vya Idi amin muda ule.Leo Israel hana ubavu huo tena
 
Mwana kulitafuta , mwana kulipata
Janjaweed ambao ndio RSF waliundwa, walifadhiliwa na kulindwa na serikali ya Sudani ili wawauwe Wasudani weusi huko Darfur.

Warussi ndio walinzi wa migodi ya dhahabu huko MALI na SUDAN

HEMELTI mkuu wa RSF amezuru Russia karibuni
Comment bora sana hii. Suala la Darfur lilihuzunisha sana. Mambo aina hii ndilo janga au msiba mkuu wa nchi za kiafrika.

Yaani serikali zinaunda na kufadhili vikosi vya mateso na mauaji ya raia zao na kujifanya hazihusiki na madhila yanayotokea. Eti hao ni “janjaweed”, “watu wasiojulikana”, n.k. Bila kujua hao watu ipo siku watawageukia wao wenyewe.

Jeshi la Sudan linavuna lilichopanda. Wao ndio walianzisha na kufadhili hao RSF aka Janjaweed. Nchi zingine zenye kutegemea kufanyia ugaidi raia wao kwa vile tu ni “wapinzani” zijiandae kwa matokeo. Wanaoishi kwa upanga hatimaye huangamia kwa upanga. It’s just a matter of time.
 
Mataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama kwamba inahofia kuingia matatani kwa wananchi wake huko nyumbani.

Katika kuondoka huko kila nchi imekuwa ikifanya mbwembwe zake ili ionekane ni hodari zaidi katika kukimbia eneo lenye vita. Upande wa Marekani awali walisema wana mpanga wa kuwahamisha raia wake haraka. Kumbe wakati wakisema hivyo helikopta za Chinook zilikuwa tayari zipo Khartoum kuchukua maafisa wa ubalozi tu na familia zao wanaofikia 100.Wale raia wengine pacha wafikao 16000 kila mmoja ametakiwa aangalie usalama wake.

Uiengereza, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Spain na nchi nyingi zimeshafanya zoezi hilo. Kwa upande wa Urusi imesema raia wake wote wameshajikushanya ndani ya Ubalozi wa nchi hiyo Khartoum na wanaangalia muda muafaka ili kuwaondoa.Hali ni hiyo hata kwa vinchi vidogo kama Kenya na Misri nao eti wanafanya mipango kuondoa raia zao huo ambao huenda wala hawajui namna walivyoingia na wala idadi yao.

Majenerali wanaopigana nchini humo kila mmoja anajaribu kutoa picha kwamba ndiye aliyepanga mipango ya kusaidia kuondoka raia wa nchi moja baada ya nyengine. Kama wana madai ya kweli katika kuanzisha vita hivi basi badala ya kusaidia kuondoka raia hao wangewashikilia mateka mpaka usalama urudi nchini humo.Wangewaambia hawawezi kuwahakikishia usalalma wao.

Upande wa wananchi matukio hayo ya kukimbizwa kwa raia wa nje kumewakatisha tamaa sana.Alsadig Alfatih amesema kuwaona watu hao wakihamishwa na kuachwa wao wapigane kumemkatisha tamaa sana kwani alitaraji wao ndio wangesaidia kuleta amani.
Hapo ndipo waafrika tuna fail!!si mala mnawaambia wazungu wasiwaingilie kwenye mambo yenu?!!Sawa haya pambaneni sasa!!USA ameingia tena kibabe kweli kweli kawachukua wanao muhusu!!mataifa mengine imebidi kutumia barabara zaidi ya km 800!!ili kuweza kuondoka,ila mzee wa kazi hapo hapo ubalozini amewafuata!!AU iko wapi?!!putini,na china .
 
Si wameamua wenyewe kupigiana?
Waache wauwane akili zitawakaa sawa tu
Wamewachoka Sudani kusini Raisi na makamu wake walitwangana hasa mpaka baadaye akili ikawakaa sawa kumetulia

Sasa hivi ni zamu ya Sudani kaskazini Raisi na makamu wake wanatwangana akili zitawakaa sawa mbeleni

Sudani zote mbili Raisi huwa na jeshi lake na makamu huwa na lake sijui wana shida gani

Mataifa ya kiislamu mfano ya uarabuni hata siku moja waislamu waafrika nchi zenye waislamu watupu wakipigana iwe Somalia au Sudan,au libya,nk au popote huwa hawaingilii kati wala kutoa tamko la kulaani vita ila kwao ikilipuka kelele kila kona wanataka dunia iwaunge mkono

Waislamu wenzao uarabumi hawasaidii wanaondoa raia zao wanataka Marekani wakristo ndio wawasaidie?

Marekani alijaribu kuingia Somalia awasaidie kumaliza vita alishambuliwa na majeshi ya pande zote zinapigana kuwa hawataki mla nguruwe Somalia toka wewe,mmarekani, Marekani akakimbia akawaacha

Afghanistan vile vile akakimbia akawaacha waendelee kutwangana wenyewe huko mwislamu akimtwanga mwislamu mwenzie hadi kieleweke
 
Ndipo ujinga wao ulipo hapo.Yaani kila mmoja anajipendekeza aonekane ndiye aliyesaidia kufanikisha kuwakimbiza.Marekani iliwasiliana na Hemedti mwanzo kabla ya kuleta chinook na wakati huo zikawasiliana na Burhan.

Baada ya kuhadaiwa kila mmoja akajitangaza atafanya juhudi kuhakikisha wanaondoka kwa usalama na kweli walisitisha mizinga zilipokuwa zinapakia raia wao. Kule Marekani Biden anasifu ushujaa wa vikosi vyake vilivyowaokoa maofisa wake wa ubalozi.
Hollywood wamepata jambo la KUACT MOVIE nyingine na kutumalizia bando zetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mwana kulitafuta , mwana kulipata
Janjaweed ambao ndio RSF waliundwa, walifadhiliwa na kulindwa na serikali ya Sudani ili wawauwe Wasudani weusi huko Darfur.

Warussi ndio walinzi wa migodi ya dhahabu huko MALI na SUDAN

HEMELTI mkuu wa RSF amezuru Russia karibuni
Karma.....

[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Comment bora sana hii. Suala la Darfur lilihuzunisha sana. Mambo aina hii ndilo janga au msiba mkuu wa nchi za kiafrika.

Yaani serikali zinaunda na kufadhili vikosi vya mateso na mauaji ya raia zao na kujifanya hazihusiki na madhila yanayotokea. Eti hao ni “janjaweed”, “watu wasiojulikana”, n.k. Bila kujua hao watu ipo siku watawageukia wao wenyewe.

Jeshi la Sudan linavuna lilichopanda. Wao ndio walianzisha na kufadhili hao RSF aka Janjaweed. Nchi zingine zenye kutegemea kufanyia ugaidi raia wao kwa vile tu ni “wapinzani” zijiandae kwa matokeo. Wanaoishi kwa upanga hatimaye huangamia kwa upanga. It’s just a matter of time.
Karma....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wamewachoka Sudani kusini Raisi na makamu wake walitwangana hasa mpaka baadaye akili ikawakaa sawa kumetulia

Sasa hivi ni zamu ya Sudani kaskazini Raisi na makamu wake wanatwangana akiki zitawakaa sawa mbeleni

Sudani zote mbili Raisi huwa na jeshi lake na makamu huwa na lake sijui wana shida gani

Mataifa ya kiislamu mfano ya uarabuni hata siku moja waislamu waafrika.nchi zenye waislamu watupu wakipigana iwe Somalia au Sudan,au libya,nk au popote huwa hawaingilii kati wala kutoa tamko la kulaani vita ila kwao.ikilipuka kelele kila kona wanataka dunia iwaunge mkono

Waislamu wenzao uarabumi hawasaidii wanaondoa raia zao wanataka Marekani wakristo ndio wawasaidie?

Marekani alijaribu kuingia Somalia awasaidie kumaliza vita alishambuliwa na majeshi ya pande zote zinapigana kuwa hawataki mla nguruwe Somalia toka Marekani akakimbia akawaacha

Afghanistan vile vile akakimbia akawaacha waendelee kutwangana wenyewe huko mwislamu akimtwanga mwislamu mwenzie hadi kieleweke
Mama mchungaji ni lazima katika hoja zako utaingiza tu UISLAMU na hao WAISLAMU [emoji1787][emoji1787]

Ingekuwa una uwezo wa kuwafuta duniani ungeshafanya.....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mama mchungaji ni lazima katika hoja zako utaingiza tu UISLAMU na hao WAISLAMU [emoji1787][emoji1787]

Ingekuwa una uwezo wa kuwafuta duniani ungeshafanya.....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Let us call spade a spade vinginevyo Afrika hatutasonga mbele

Somalia wote waislamu mashehe wameenda kusuluhisha imeshindikana wanatwangana tu

Haya Sudan kaskazini hao wanatwangana sasa wote waislamu tena vita wameanza mwezi wa Ramadhan wasivyo hata na aibu dini moja hawaivi

Mifano iko kibao

Waislamu tumechoka na vita zenu za kutwangana wenyewe kwa wenyewe mnatia aibu bara letu la Afrika

Waambie na waislamu wenzao
 
Kumbe Urusi na Ukraine hawataki Suluhu kupitia DINI YAO MOJA ilihali mpaka baba mtakatifu ameingilia kati ila bado tu wanaendelea kuuana......

Unadhani dunia ya sasa watu wanapigania DINI na si FEDHA NA MADARAKA?!!!!

Kwenye baadhi ya nyumba za ibada tu za dini karibu zote mizozo,kutengana na kubaguana hakuishi kwa VIONGOZI sababu ya VISADAKA NA UKUU...sasa unashangaa kwa WANASIASA NA WANAJESHI HAO WAKUBWA wanaoshika HAZINA YA NCHI NA NJIA KUU ZA UCHUMI kisa tu wana majina ya kiislamu na ni waislamu?!!![emoji23]

Broad up your mind......

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Let us call spade a spade vinginevyo Afrika hatutasonga mbele

Somalia wote waislamu mashehe wameenda kusuluhisha imeshindikana wanatwangana tu

Haya Sudan kaskazini hao wanatwangana sasa wote waislamu tena vita wameanza mwezi wa Ramadhan wasivyo hata na aibu dini moja hawaivi

Mifano iko kibao

Waislamu tumechoka na vita zenu za kutwangana wenyewe kwa wenyewe mnatia aibu bara letu la Afrika

Waambie na waislamu wenzao
We ni mpumbavu kweli.

Warusi na Wayukreini wanaotwangana huko Ukraine nao ni waislamu?

Tena kibaya zaidi nchi kubwa za kikristo zikiongozwa na USA ndizo zunazorefusha vita kwa kumpa silaha Ukraine huku zikikataa kukaa mezani kwa ajiri ya suluhu.

CCM akili zenu mbovu sana.
 
Back
Top Bottom