Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Sitarajii hilo lakini inabidi tuwatahadharishe watawala wenye uchu wa madaraka juu ya hatari ya kuanzisha vikundi vya kigaidi dhidi ya raia. Makundi ya aina hiyo ni rahisi kuanzisha vita ya wenyewe kwa wenyewe. Manake tunashuhudia watawala wakitumia ukatili kama mbinu ya ushindi na kushikilia madaraka.Kwamba unamaanisha hata hapa kwetu wasiojulikana ipo siku watafanya yao?tuombe tusifike huko
Kwa mfano sasa hivi kuna chuki kati ya “sukuma gang” na “msoga gang”. Hii ni vita ya maneno tu. Michezo ya aina hii ikiendelea siku za mbeleni watu watajiandaa kukatana mashoka kabisa. Kete ya ukatili inazidi kupaliliwa na wanasiasa.