Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Mwanaccm asiyejielewaLet us call spade a spade vinginevyo Afrika hatutasonga mbele
Somalia wote waislamu mashehe wameenda kusuluhisha imeshindikana wanatwangana tu
Haya Sudan kaskazini hao wanatwangana sasa wote waislamu tena vita wameanza mwezi wa Ramadhan wasivyo hata na aibu dini moja hawaivi
Mifano iko kibao
Waislamu tumechoka na vita zenu za kutwangana wenyewe kwa wenyewe mnatia aibu bara letu la Afrika
Waambie na waislamu wenzao
Kunitendea haki Malizia kwa kuandika kuwa kwa mtizamo wakoMwanaccm asiyejielewa
Hujielewi weweKunitendea haki Malizia kwa kuandika kuwa kwa mtizamo wako
Utakuwa umenitendea haki sana ukiandika hivyo
Andika kwa kumaluzia hiyo sentensi kuwa kwa mtizamo wakoHujielewi wewe
Niandikie weweAndika kwa kumaluzia hiyo sentensi kuwa kwa mtizamo wako
wambie moderators ndio wakusaidie ku editi kuwa wa edit waandike ulichoongea ukijibizana na mimi kuwa ni kwa mawazo yako mimi sio moderator siwezi India kubadilishaNiandikie wewe
Absolutely [emoji106]Aahaaaaha
Washapata script
Ila hakuna movie naikubali kama Ile ya Black Hawk Down
Kwa kweliinasikitisha
kwahiyo wabaki humohumo wapigane wao kwa wao wafe kiume, au?Kwan nchi si yao, kama wanaona vita ni sahihi kwao, basi wao ndo wakwanza kutokuwa na busara, waafrika tunapenda mteremko sana, tujifunze kwa Ukraine ilivyosimama kiume dhidi ya Urusi, sasa kama nyinyi pia mnataka muiache nchi yenu mnabusara kweli?
Waliohamishwa kutoka Sudan wamepokewa Saudia kwa mauwa.Wamewachoka Sudani kusini Raisi na makamu wake walitwangana hasa mpaka baadaye akili ikawakaa sawa kumetulia
Sasa hivi ni zamu ya Sudani kaskazini Raisi na makamu wake wanatwangana akiki zitawakaa sawa mbeleni
Sudani zote mbili Raisi huwa na jeshi lake na makamu huwa na lake sijui wana shida gani
Mataifa ya kiislamu mfano ya uarabuni hata siku moja waislamu waafrika.nchi zenye waislamu watupu wakipigana iwe Somalia au Sudan,au libya,nk au popote huwa hawaingilii kati wala kutoa tamko la kulaani vita ila kwao.ikilipuka kelele kila kona wanataka dunia iwaunge mkono
Waislamu wenzao uarabumi hawasaidii wanaondoa raia zao wanataka Marekani wakristo ndio wawasaidie?
Marekani alijaribu kuingia Somalia awasaidie kumaliza vita alishambuliwa na majeshi ya pande zote zinapigana kuwa hawataki mla nguruwe Somalia toka Marekani akakimbia akawaacha
Afghanistan vile vile akakimbia akawaacha waendelee kutwangana wenyewe huko mwislamu akimtwanga mwislamu mwenzie hadi kieleweke
Wamechagua kupigana na hakuna anayewskatazaMataifa karibu yote duniani yenye raia zao Sudan wanashindana kuwakimbiza nchini humo. Imekuwa kama ni siasa kuwahi kuwaondoa raia hao kwa mbinu tofauti. Nchi inayochelewa kufanya hivyo kama kwamba inahofia kuingia matatani kwa wananchi wake huko nyumbani.
Katika kuondoka huko kila nchi imekuwa ikifanya mbwembwe zake ili ionekane ni hodari zaidi katika kukimbia eneo lenye vita. Upande wa Marekani awali walisema wana mpanga wa kuwahamisha raia wake haraka. Kumbe wakati wakisema hivyo helikopta za Chinook zilikuwa tayari zipo Khartoum kuchukua maafisa wa ubalozi tu na familia zao wanaofikia 100.Wale raia wengine pacha wafikao 16000 kila mmoja ametakiwa aangalie usalama wake.
Uiengereza, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Spain na nchi nyingi zimeshafanya zoezi hilo. Kwa upande wa Urusi imesema raia wake wote wameshajikushanya ndani ya Ubalozi wa nchi hiyo Khartoum na wanaangalia muda muafaka ili kuwaondoa.Hali ni hiyo hata kwa vinchi vidogo kama Kenya na Misri nao eti wanafanya mipango kuondoa raia zao huo ambao huenda wala hawajui namna walivyoingia na wala idadi yao.
Majenerali wanaopigana nchini humo kila mmoja anajaribu kutoa picha kwamba ndiye aliyepanga mipango ya kusaidia kuondoka raia wa nchi moja baada ya nyengine. Kama wana madai ya kweli katika kuanzisha vita hivi basi badala ya kusaidia kuondoka raia hao wangewashikilia mateka mpaka usalama urudi nchini humo.Wangewaambia hawawezi kuwahakikishia usalalma wao.
Upande wa wananchi matukio hayo ya kukimbizwa kwa raia wa nje kumewakatisha tamaa sana.Alsadig Alfatih amesema kuwaona watu hao wakihamishwa na kuachwa wao wapigane kumemkatisha tamaa sana kwani alitaraji wao ndio wangesaidia kuleta amani.
Somalia nyingine hiyoSi wameamua wenyewe kupigiana?
Waache wauwane akili zitawakaa sawa tu
Wacha wakose wote, sisi tujiandae pokea wakimbizi tuMwana kulitafuta , mwana kulipata
Janjaweed ambao ndio RSF waliundwa, walifadhiliwa na kulindwa na serikali ya Sudani ili wawauwe Wasudani weusi huko Darfur.
Warussi ndio walinzi wa migodi ya dhahabu huko MALI na SUDAN
HEMELTI mkuu wa RSF amezuru Russia karibuni
Sasa mlianzishe wenyewe afu muingize na wasiohusikaDunia iko hivyo.
Niliangalia Hotel Rwanda jinsi foreigners walivyokuwa wakichukuliwa, ilinitia simanzi na kuniachia maswali mengi sana.
Warusi ambao wanapeleka wanajeshi wao vitani bila vifaaWarussi wana utu sana kuliko Wamarekani. ....nadhan Sudan itafaidi
Nchi haitakiwi kuwa na makundi pinzani, tena wote wakiwa na silahaNa ndo shida ya kutengeneza na kukumbatia majeshi private kama wagner siku wakigeukana wanaanza vurugu kwenye nchi
hizo ni kodi zao sio kodi zenu nyiny , so ilaumu serikai yako kwa kuitupa pemben aman na kujali matumbo yao kwanzaDunia iko hivyo.
Niliangalia Hotel Rwanda jinsi foreigners walivyokuwa wakichukuliwa, ilinitia simanzi na kuniachia maswali mengi sana.
kwahiyi Uganda ya leo ni bora kuliko iran ya 2010s ?maana Israel kapiga mission huko Iran vya kutoshaNgoja tuangalie tujikumbushe.Lakini sidhani kuwa ilikuwa ni ushujaa wa Israel pekee iliambatana na ujinga wa vikosi vya Idi amin muda ule.Leo Israel hana ubavu huo tena