Wasudan wajiuliza kuhamishwa raia wa nje kuachwa wao wapigane kuna hekima gani

Kwamba unamaanisha hata hapa kwetu wasiojulikana ipo siku watafanya yao?tuombe tusifike huko
Sitarajii hilo lakini inabidi tuwatahadharishe watawala wenye uchu wa madaraka juu ya hatari ya kuanzisha vikundi vya kigaidi dhidi ya raia. Makundi ya aina hiyo ni rahisi kuanzisha vita ya wenyewe kwa wenyewe. Manake tunashuhudia watawala wakitumia ukatili kama mbinu ya ushindi na kushikilia madaraka.

Kwa mfano sasa hivi kuna chuki kati ya “sukuma gang” na “msoga gang”. Hii ni vita ya maneno tu. Michezo ya aina hii ikiendelea siku za mbeleni watu watajiandaa kukatana mashoka kabisa. Kete ya ukatili inazidi kupaliliwa na wanasiasa.
 
Vichaa kama nyie sijui imekuwaje mkapata ruhusa ya kujiunga JF.

Kwa akili hizi ulitakiwa uwe mirembe unaendelea na dozi zako za haloperidol.

Kwani huko kwa wazungu(wakristo)hakujawai kuwa na civil wars?

Ulaya na Marekani kote kumeshapiganwa sana civil wars.

Ule ugomvi wa ndani kwa ndani kati ya majeshi ya ukraine na waasi wa Donbas wanaotaka kujitenga tangu 2014 ndani ya ukraine hiyo hiyo wote wakiwa ni wakristo unauchukuliaje?

Una tofauti gani na ugomvi wa wenyewe kwa wenyewe na wasudan uliozaaa sudan mbili,Sudan na Sourth sudan?

Wapuuzi kama nyie ifike muda JF iwe inawatandika ban za maisha mshindwe kuandika mashudu humu.
 
Hiyo Plan B ingekuwa ngumu zaidi na hatimae ingeshindikana kabisa.Ingechukua muda zaidi na huenda taarifa ingevuja mpaka kwa Uganda na kwa watekaji.
Kilichotokea wamisri waliopigwa kwa aibu na Israel wakawapatia sifa nyengine kuwa ni mashujaa wasio na mfano.Kenya nayo ina raia wengi wanaopinga dhulma za Israel kwa wapalestina lakini kwa kuchanganya na chuki zao kwa waislamu wakaamua kuwaachia wajaze mafuta ndege zake.
 

Wamshikilie mateka mzungu, ndio watajua hawajui. Wanashika mateka na kuua ngozi nyeusi nyenzao.
 

Nyerere alifanya kazi kubwa Sana. Ingawa vijana wa juzi wanamtukana matusi, ila amani imekuwa utamaduni wa mtanzania.
 

Umesahau Chad na Mali. Kutwa kupigana.
 

Hata Iran anaisaidia Urusi pamoja na chechnya.
 
Wewe unasema...
Dunia ya magharibi inatuaminisha hivyo.....

Putin na makamarada wenzake wanaamini UKRAINE ni eneo la Urusi...TUSIKESHE SANA HAPA [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Tangu lini Ukraine ni eneo la Urusi? Wote hao walikuwa kwenye shirikisho la kisovieti Kama wanachama kabla halijaanguka. Ni ujinga wa Urusi kutafuta usuperpower ambao haumfai.
 

Kasome kitabu Cha Raid at Entebbe. Utapata picha halisi ya ujasusi wa Israel.
 
Hata Iran anaisaidia Urusi pamoja na chechnya.
Tunapata picha kumbe kwenye migogoro mingi ya dunia hii chanzo kikubwa ni maslahi.

Dini inachukua nafasi ndogo sana kwenye migogoro inayoendelea duniani.

Angalia hapa;

●Marekani anaisaidia Ukraine kupambana na Urusi.Marekani ni nchi ya kikristo na Ukraine ni nchi ya kikristo na Warusi majority ni wakristo hapa wakristo kwa wakristo ndiyo wanaopambana na kila mmoja anapambania maslahi yake dini hapo azina nafasi na zimewekwa pembeni.

●Vita ya Syria kumtoa Al Assad Marekani(mkristo)anasaidia waasi(waislamu),wakati Urusi mkristo anamsaidia Al assad kubaki madarakani kwa kupambana na waasi na magaidi(waislamu).Hapo utaona Marekani amsaidii mtu kidini bali kwa kuangalia maslahi yake tu.Yupo tayari kumsaidia mkristo au muislamu as long as maslahi yake yatalindwa na kuzingatiwa kwa gharama yoyote.

Hata hapo Sudan kinachowapiganisha sio uislamu wao ni maslahi ya pande zote mbili na tamaa za madaraka tu.
 
Waambie wawe wapole wanakula malipo, wakati wanawaua wasudani weusi bila huruma wakitegemea nini. Hao hata wamalizane wote SAwa tu watazaliwa wengine
 
Una shida n
Waambie wawe wapole wanakula malipo, wakati wanawaua wasudani weusi bila huruma wakitegemea nini. Hao hata wamalizane wote SAwa tu watazaliwa wengine
Una shida na hiyo Ngozi yako , jipakae chokaa utafanana na sisi
 
usipende ongea past , ongea present , ndio maana nkasema akili yako ndogo , yaan unaish past ya mtu mwingine halaf unajiona timamu ?
 
tofautisha nchi ya kikristu na nchi yenye wakristu wengi , vitu viwili tofauti hapa tumepoint nchi za kiislam I.e Saudia Arabia , Iran etc na sio nchi zenye waislam weng I.e Tanzania
 
Waambie wawe wapole wanakula malipo, wakati wanawaua wasudani weusi bila huruma wakitegemea nini. Hao hata wamalizane wote SAwa tu watazaliwa wengine
Muangalie huyu mwamba anayetajwa kuwa ndiye miongoni mwa walioongoza mauwaji huko Darfur kama ni kweli. jana ametoka jela baada ya jela kubomolewa. Anaitwa Ahmed Haroun. Kwa sura yake unaweza kusema ni kablila gani.
Jee huyu unawez kusema ndiye mwarabu aliyekuwa akiuwa waafrika huko Darfur. Katika machafuko kama haya wazungu wanapotaja ukabila wanajuwa wanachokifanya na faida zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…