Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Porojo wenzio hata TZ wameishika wana uwezo wa kifedha , we piga kelele tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ufupi RSF iliundwa Kwa dhumuni la kuisaidia serikari ya bwana Bashir kulinda usalama wa west Sudan(Darfur)Sio RSF wote ni Janjaweed.
Wapo waliotoka na kuna waliobaki kutaka kuiendeleza Janjaweed.
Ndio RSF ikaundwa kupigana na janjaweed ya zamani.
Utata umekuja RAF ilipotoa waraka wa kuivunja RSF.
Ukifa nje ya uislam wewe ni kuni tuUkiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana
Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na waarabu kuwaangamiza wasudan wasio kuwa waislam
Leo wanaojiona waarabu hawawatambui wasudani weusi haijalishi wewe ni muislam au la hata km umekariri kwaran km ni mweusi unakatwa shingo salama yako uwe na ngozi ya kuchovya
Bushiri aliwasaidia waarabu kumiliki raslimali nyingi za sudan kiasi kwamba uchumi wote wameushika wao na wanataka wawe nchi ya kiarabu tu
Leo wasudani hawabaguliwi kwa dini ila wanabaguliwa na kuuwawa kwasababu ya weusi wao
Sasa huo usalama ni dhidi ya makundi hasimu ya serikali ikiwemo former Janjaweed,pia kuna makundi mawili yaliongezeka hasimu ya Sudan.Kwa ufupi RSF iliundwa Kwa dhumuni la kuisaidia serikari ya bwana Bashir kulinda usalama wa west Sudan(Darfur)
Sababu gani za msingi za kutoana roho za wa Russia na ukraine, kwa mfano?. Kipi kisichozungumzika?. Binadamu ni wale wale tu rangi zao zinasingiziwa.Angalau wenzetu wana sababu ya kupigana.
Sisi huwa tunauana kwa upumbavu ambao kama tungekaa mezani dakika 10 tu ungeshatatulika.
Ukifa nje ya uislam wewe ni kuni tu
Upo sahii.... Umenikumbusha wakati wangu nikiwa pale Omdurman Ahlia University(OAU)Sasa huo usalama ni dhidi ya makundi hasimu ya serikali ikiwemo former Janjaweed,pia kuna makundi mawili yaliongezeka hasimu ya Sudan.
Ila pia RSF wametumika kama mercenaries sehemu nyingi sana.
Serikali ilipoona haina haja ya RSF ikatoa wito ivujwe,hapo ndipo wakatibuana sasa RSF wanataka mapinduzi wao ndio wakalie kiti.
Yesu na binaadam wamwanzo walikuwa waislam. Ukifa ukiwa mkristo umepata hasara sana huko twendakoNa waliokufa kabla huyo muarabu hajaanzisha huo ujuha wenu.
Mkuu Russia na Ukraine wana ugomvi wa muda sana.Sababu gani za msingi za kutoana roho za wa Russia na ukraine, kwa mfano?. Kipi kisichozungumzika?. Binadamu ni wale wale tu rangi zao zinasingiziwa.
Sasa nashangaa mleta mada na wengine wanadai hii ni vita ya ethnic cleansing.Upo sahii.... Umenikumbusha wakati wangu nikiwa pale Omdurman Ahlia University(OAU)
Kwanini wale waarabu wa Sudan wamekimbilia Tanzania!?waarabu wanaua weusi sudan mkuu , ni kama wale wasiotaka muunganiko , utengano ukitokea wale wenye muonekano wa muscat waanze kuchinja wale wenye muonekano wa burundi
Ulichokiongea wewe ndio uhalisia wa mambo. Tatizo hatutaki kufuatilia mambo hasa hizi geopolitical issues. Wengi tunajadiri Kwa misingi ya udini.Sasa nashangaa mleta mada na wengine wanadai hii ni vita ya ethnic cleansing.
Kama ya ethnic cleansing kwanini wale wanafunzi waarabu wamekimbilia Tanzania na wameomba uraia ikibidi!?
WaTanzania wengi tunaweza umbea/maneno ya kuambiwa.Ulichokiongea wewe ndio uhalisia wa mambo. Tatizo hatutaki kufuatilia mambo hasa hizi geopolitical issues. Wengi tunajadiri Kwa misingi ya udini.
Kweli kabisa. Suruhisho la mgogoro wa Sudan lipo mikononi mwa bwana Dagalo na mwenzie Abdel Fattah al-Burhan.WaTanzania wengi tunaweza umbea/maneno ya kuambiwa.
Lakini sio kufanya tafiti na kujua ukweli wa jambo.
Na tukimezeshwa tunataka kuamini kile kile tulichomezeshwa ndio sahihi.
vita ni vita mullah, pia vita huambatana na njaa na insecurities nyinginezoKwanini wale waarabu wa Sudan wamekimbilia Tanzania!?
Si wangebaki kama wanauliwa weusi tu!?
Bado haijitoshelezi hiyo kauli yako.vita ni vita mullah, pia vita huambatana na njaa na insecurities nyinginezo