Wasukuma hii ni karne ya 21 Tuelimike. Unasafirije na kuku kwenye basi kutoka mkoa huu hadi mkoa mwingine?

Acha zako mdau!
Mbona mswano tu!
 
Binafsi ikitokea nimepanda basi la Mkoani, halafu nikakaa siti moja na Msukuma mchafu wa porini aliyevaa mishanga mwili mzima na muda wote akiongea na simu kwa lugha yao ya Kisukuma kwa sauti ya juu, au Mmasai/Mbarbaig aliyejipaka mafuta ya samli; hakika hiyo safari yangu mara zote hugeuka kuwa chungu na ya majuto sana.
 
Mkuu iko hivi;
Ukimuona msukuma kapanda na kuku kwenye bus jua ya kuwa huyo/hao kuku ni mbegu original kaamua kuchukua akaiendeleze huko aendapo.
Kwamfano kuku jamii ya KUCHI kupata mbegu og nowadays ni kipengele sana ila usukumani bado wapo.
Sasa ungekuwa ni wewe ungechagua kipi? Kusafirisha mayai ktk hofu ya kuyapasua ama usafirishe kuku ktk hofu ya kuwakera wasafiri wenzio?

Halafu hii kusema wasukuma tu ndo tunaongoza kusafirisha mifugo hasa kuku, siyo kweli. Jaribu kusafiri kipindi cha kiangazi mikoa ya Tanga, Pwani na hata Morogoro ujionee maajabu ya wazigua, wakwere na waluguru wanavyo safiri na kuku weupe, weusi na wekundu kwaajili ya kwenda kuroga kwa waganga baada ya mavuno.
 
Wongeze na wanyantuzu mheshimiwa spika
 
leo dada uje utetee nduguzo
Trending ya mitandao haitupi shida sie wasukuma.
Nimezunguka Tanzania nzima Tena ndani ndani huko nikiri tu kusema WASUKUMA ni kabila lililostaarabika mnooo, maendeleo pamoja na utu.
Narudia kelele za mitandao hazitukeli sisi wasukuma tunaoijua Tanzania hii vizuri.
Acha mada za wasukuma ziende sababu ndio kabila pendwa.
 
Hivi kwa nini huwa inakuwa vigumu sana wasukuma kuongea na simu kwa faragha taratibu bila kupiga kelele? Iwe kwenye usafiri wa umma, bar, hospital au popote mnajiachia tu mpaka muambiwe mpunguze volume!
 
Acheni kuwa sakama wasukuma,kubeba kuku hiyo ni kawaida ya mtu akitoka kwao kijijini
Waluguru,wagogo,watu wa singing nk huwa wanabeba
Mbona wasukuma wakienda mwanza wakibeba Sato hamlalamiki

Ova
Basi wawe wanawachinja na kuwakaanga kabisa hao kuku kama vile wanavyosafirisha kitoweo cha Samaki.
 
Mimi huwa nawalipia siti kabisa na ninazuia abiria wawili ili kupisha tenga langu halafu zile soda za kwa ajili ya hizo siti ninazichukua na kuwawekea kama maji wanakunywa.

Hapa kikubwa serikali ipate mapato yake hata fisi akalishwe kwenye siti kukaa na abiria asiyejitambua kiasi cha kukosa hata mkweche wa milioni 15. Asiyetaka kusafiri na kuku wangu aendeshe gari lake binafsi.
 
Hatutaki kuondoka na utitiri kwenye bus la abiria. Ni kinyume cha sheria kusafirisha mifugo katika gari la abiria, LATRA wamesinzia katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…