Wasukuma hii ni karne ya 21 Tuelimike. Unasafirije na kuku kwenye basi kutoka mkoa huu hadi mkoa mwingine?

Inakuuma nini? Ni wivu tu
 
Kama sio mvumilivu huwezi ishi na jamii nyingi za kanda ya ziwa...hawa jamaa wana mambo ya ajabu sana ...vjjn huko kuna watu wanajiita kamanda wa kjj hata mgambo hajui...nlitaka kuuwa mmoja mwaka flan
Kaka hao omba wasikufumanie wanakuuwa aisee .
Bila kuwa na ushirikiano mzuri na miguu yangu wangeniuwa
 
Ni kweli Hawa wenzetu wengi oga Yao haieleweki kabisa either anyeshewe mvua tu
 
Najua na kuelewa hivyo hata ukisoma andiko hili kwa umakini sijakataa kusafiri nao ila nimeomba namna sahihi ya kusafirisha hao mifugo. Mkuu Mimi huwa natuma kuku Dodoma, Dar na moshi kwenye basi wana fika vizuri tu hadi kuku wawili pekee huwa natuma.

Ninachokikemea hapa ni Ile kukaa na kuku kwenye siti umelipakata njia yote hii sio sawa tubadirike.

Kuhusu makabila mengine nikweli kabisa ila Mimi nimezungumza upande wangu nimewahi kuishi manyara ni yaleyale.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Badirika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…