Wasukuma hii ni karne ya 21 Tuelimike. Unasafirije na kuku kwenye basi kutoka mkoa huu hadi mkoa mwingine?

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ Msukuma ukipanda nae gari Moja akianza kuongea na Simu mtakoma Jamaa wanakera vibaya sana

Yaani unakuta wana sauti Kali utadhani kwenye Simu wanagombana kumbe ni maongezi tu ya kawaida Aisee Hawa jamaa ustaarabu wao ni 0 kabisa
 
Nimecheka kwa sauti , mbona unatusimanga mkuu. Tawapatia hii taarifa wananzengo waache kuniletea vitoweo. anyway, you made my day
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜Ž
NB. Hio picha naona huyo mama hajapenda kukaa na huyo jamaa mwenye kuku.
 
Nafikiri Ulaya tunaiona vile ilivyo leo kwasababu walikataa "tuishi vile inawezekana".
 
Ng'wagoko ng'wanike
 
Mimi siyo msukumeni ila hapo hakuna shida kabisa wengine siyo kwamba hawana hela za kununua kuku huko wsendalo hapana ni zawadi kutoka nyumbani kwao inaleta faraja ya moyo
Kuna jamaa mmoja nlimuona kwenye ndege "bussiness class" kakatia ka mbwa kake kadogo, siyo kwenye tenga wala nini, kakatia seat na kalikuwa kana piga kelelee ile muda ndege inapanda na wakati wa kushuka, kuna namna alikuwa ana ka calm.

Huyu angekuwa msukuma namimi ningemzodoa sjui.
 
Hivi kwa nini huwa inakuwa vigumu sana wasukuma kuongea na simu kwa faragha taratibu bila kupiga kelele? Iwe kwenye usafiri wa umma, bar, hospital au popote mnajiachia tu mpaka muambiwe mpunguze volume!
Kwanza mi tukiongea na simu sisikii mpaka niweke loud speaker na volume iwe mwisho ndio tutaelewana.
Jibu sina hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…