Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

Wapo hiyo mikoa yote uliyosema hawapo, tena wengi sana. Hata visiwani Znz wengi tembelea sehemu za ujenzi ni wasukuma wengi wanaongea lugha yao tuu.
Mimi nimewakubali sana.
 
Mtwara wapo kijiji cha lukwika ila idadi yao ni ndogo kulinganisha na mikoa mingine.
 
Siku nyingine ukiongea au kuandika kisukuma jitahidi usitumie herufi "i" na "u" (ai) na (yuu) Msukuma hana herufi hizo kwenye maneno yake, mlemhola sio mulimhola
 
Kama kuna msukuma hapa anitajie neno la kisukuma linaloingia i na u nimpe liteni
 
upo sahihi wasukuma wanakaribia watu milion 15 Tanzania roughly kat ya watu 13 Tanzania mmoja ni msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…