ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ufugaji wa kijinga tuu,wanatakiwa kuougwa marufukuWanaongoza kwa kumiliki mifugo mingi nchini, pia ndio wazalishaji namba moja wa mpunga.. asilimia kubwa ya mashine za kukoboa mpunga zinamilikiwa na wao.. ukifika machimboni wao pia ndio mabingwa wa kuzamia mashimo marefu (rongobesi)