Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja

Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.

Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.

Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.

Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.

View attachment 2407732
Ndio fahari yetu
 
Hivi mababu zetu walitumia nini kabla wamagharibi/ulaya and muarabu hajatia maguu yake huku kwetu nakutuaminisha kua aliotuletea ni bora saaaaaana kuliko alioyakuta ????
 
Back
Top Bottom