Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Kuachwa aachwi labda break kidogo

Anyway nimechukulia kama ndivyo alivyo
Kwani unafikiri kumuacha mtu hua inaanzaje? Ni hivyo hivyo unaanza kumtafutia vimakosa /mapungufu madogo madogo. Hapo ukute umeshakutana na kijamaa cha dar kinaongea kama cherehani kutwa kucha kinakujazia ma meseji we unaona mwanaume sindio huyu. Wanawake siku zote hamjuagi mnachotaka
 
Sawa mkuu.. kwaiyo ukijitongozesha ndio unakuwa hivyo mkuu eee
Kama Me anakupenda hawezi kukupuuza. Kuna kamsemo kua hakuna aliebusy kwa anaempenda.

Kama ulijitongozesha na kujilengesha yeye akamaliza tu kua "acha nimtongoze asije kujiskia vibaya" basi hapo umeisha mkuu.
 
Hapana sijapata hata kwanza pia sipendii kuchart na mtu si mtu wangu mara nyingi
 
Kama Me anakupenda hawezi kukupuuza. Kuna kamsemo kua hakuna aliebusy kwa anaempenda.

Kama ulijitongozesha na kujilengesha yeye akamaliza tu kua "acha nimtongoze asije kujiskia vibaya" basi hapo umeisha mkuu.
Kwani wote mnaowapuuza inakuwaga wamewatongoza usitafute kujitetea
Mnatutongoza wenyewe na mna mtu ghost wenyewe.. unakuta huna hata wazo la mahusiano mnakuja kuyachochea halafu tukiwapendq mnaanza visa
Mazafaka….nyie wanaume mna matatizo
 
Kama ni hivyo basi kuna mahali unamboa jamaa.
Hata kama sio muongeaji ila mpenzi unaempenda ndio hua mcheshi wako, msiri wako, anaekupa faraja nk.

Sasa kama hata akichoka hataki kuchart wala kuongea na wewe kuna kanamna.

Pole mkuu.
 
Hapo mwambie tu NO REFORM NO ERECTION.
 
Naona unamhoji kwa kina sana😂
Nampa ukweli, ajitathmini kwa jinsi wasukuma wanavyosifika kwakua mabwege kwenye mapenzi, wanahonga hovyo na kutetereka kwa pisi kali halafu mleta uzi anawalalamikia basi yeye ndo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…