Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Nampa ukweli, ajitathmini kwa jinsi wasukuma wanavyosifika kwakua mabwege kwenye mapenzi, wanahonga hovyo na kutetereka kwa pisi kali halafu mleta uzi anawalalamikia basi yeye ndo tatizo.
Wasukuma hao labda wa ndani ndani.. mtu ambae amekaa abroad 5 yrs anakutana na kila mwanamke halafu aje bongo apapatikie pisi kali.. kiufupi hata miMi wakati nakutana nae nilifikiri atakuwa ni wale wasukuma wa shinyanga ila huyu anashindaga china mkuu sio hao uwasemao🤣🤣🤣
 
Jasiri haachi asili
 
I
Kama ni hivyo basi kuna mahali unamboa jamaa.
Hata kama sio muongeaji ila mpenzi unaempenda ndio hua mcheshi wako, msiri wako, anaekupa faraja nk.

Sasa kama hata akichoka hataki kuchart wala kuongea na wewe kuna kanamna.

Pole mkuu.
i thank u
Si kwamba hatuchart ila ni muda mfupi sana tena labda uweke story na mara zote ni muda wa night mtaongea kidogo huyo analala
Anyways mimi sijui bhn ngoja niendelee kusoma maoni labda nitaokota kitu
 
No reform no election

Habari zetu ni nzuri sana
 
Hata mimi niko hivo hivo shahidi sweery

Cc Rayns wewe unaongea na simu muda wote??
 
Wewe kama ni mwanamke una akili sanaaa dada 🤝
 
wasukuma toleo la zamani 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…