naona kwny issue ya waandishi tusiwanange sana hapa wa kuwauliza ni wahusika wa TRC kwa sababu hata hawa waandishi wao wamesema uhalisia na muda waliofika ambapo MD wa TRC bwana Masanja yeye asubuhi kbsa akihojiwa na kijaana wa Ayo tv alisema itachukua dk 90 lln uhalisia ukasema walitumia 2hr na dk 20 jiulize fafanua jiongeze then nyoosha kwenye ruler🤸Muandishi wa Azam TV akasema inapaswa kuwa dakika 90 tu.
Kipi ni kipi?
Unataka bus la hivi karibuni wakati unajua sheria hairuhusu.Au hizo toch na vibao vya 50 huvioni.Dar moro ni km 190 kwa hiyo kwa 100km/hr inawezekana kwa masaa hayo mawili.changamoto ni sheria na mambo mengine barabarani.Kwa miaka hiyo ambako mambo machache barabarani inawezekana kabisa.Umesoma msg yangu vizuri? SGR imeenda 2hrs juzi. Nitajie bus linaloenda Dar-Moro 2hrs hivi karibuni. Dar Moro kwa gari sasa hivi ukijitahidi sana masaa manne.
Mara ya mwisho kwenda Dar kutokea Morogoro kwa basi ni lini?Huo muda si ni sawa na unaotumiwa na mabasi tu.
Hiyo Treni ya Umeme itakufa tuu kama ulivyokufa mradi wa Mwendokasi. Mtaniambia. . .Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea.
Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida wanatucheka na kutudharau mno.
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Usirukie tu discussion bila kujua ilipoanzia. Kuna mtu kasema yeye anatumia 2hrs DAr Moro nikamuuliza lini kaenda 2hrs dar moro? Hakuwa na jibu kwasababu ni uongo,. Kwa hali ya sasa hivi Dar Moro ukijitahidi sana masaa matatu. Been there done that....mara 1000! Alikuwa anaponda treni kutumia 2hrs. Hio dar moro km 180 gari sijui nini blah blah hata mtoto wangu wa vidudu anajua, that wasnt the discussion.Unataka bus la hivi karibuni wakati unajua sheria hairuhusu.Au hizo toch na vibao vya 50 huvioni.Dar moro ni km 190 kwa hiyo kwa 100km/hr inawezekana kwa masaa hayo mawili.changamoto ni sheria na mambo mengine barabarani.Kwa miaka hiyo ambako mambo machache barabarani inawezekana kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu watu wengi waliotamka maneno ya hivi wamekufa wao miradi wameiacha, ila nakuombea wewe usife.Hiyo Treni ya Umeme itakufa tuu kama ulivyokufa mradi wa Mwendokasi. Mtaniambia. . .
Naomba comment yangu isiguswe na mtu....
Kwamba una uchumi wa kukaa Moro na kuja Dar kwenye mishe zako kila siku ? Nauli 50,000 kila siku?Wengine tulitegemea kuhamia moto sababu tunavijumba huko ili asubuhi tuwahi mishe zetu Dar sasa kama sehemu fupi hivyo masaa mawili si balaa hiyo?tunarudi tena kwenye stone age
Hii nchi kodi na tozo ni nyingi sana, bado shughuli nyingi za kijamii wananchi wanajitolea nguvu zao. Kuanzia barabara, shule, vyoo vya shule, vituo vya afya n.k. Huduma za kijamii ni duni kupita maelezo, kiufupi tuna tatizo kubwa sana sana, ubinafsi ni sehemu ya ujinga. Bado serikali inakopa kwelikweli, matumizi ya serikali na ubadhilifu ni mojawapo ya changamoto zinazotuvunja sana moyo sisi wananchi.wabongo mnalalamika hatari.
Shida mnataka train kama za Japan wakati kodi zenyewe mnakimbia kulipa.
Inawezekana hatuna akili vizuri, kama tunazo tumeshindwa kuzitumia kama muumba alivyokusudia. Matatizo ya nchi zetu yanatokana na sisi wenyewe tukiongozwa na viongozi wetu, mtu mweusi ni shida sana kujiongoza na kiwango chake cha ubinafsi kimevuka hata kiwango cha wanyama pori.Kwa hiyo Taifa letu hatuna akili kwa sababu hatujaendelea?
Acha dharau
Daaaaaaahhhhhhh!!!!!!.Tanzania hyperloop completes first test runs, pushing ahead in race for ultra-fast land transport. Pod travels at 50km/h (31mph) through vacuum
Historia inasapoti maoni yako bila ya kuacha shaka yoyoteHiyo Treni ya Umeme itakufa tuu kama ulivyokufa mradi wa Mwendokasi. Mtaniambia. . .
Naomba comment yangu isiguswe na mtu....
Huu mradi una uwezekano mkubwa (>70%) sana wa kufa, muda utatuambia tu, kwenye maisha hakuna mwalimu mzuri kama historia.mkuu watu wengi waliotamka maneno ya hivi wamekufa wao miradi wameiacha, ila nakuombea wewe usife.
That's was my concern kaka.Kwamba haya majaribio, ikionekana tumefeli tunang'oa reli? kwamba ni majaribio haimaanisha kuwa makosa yanatakiwa yawepo..!!
Well said mkuu.[emoji1666][emoji106]Majaribio maana yake yaakisi uhalisia, yakishindwa kuakisi uhalisia maana yake tunapaswa kukosoa ili marekebisho yafanyike kufikia uhalisia.
Dar moro ni wastani wa masaa manne hadi matano hii inatokana na uwepo wa torch za matrafiki huwezi tembea kwa spidi kali.Lini hio ulienda Dar-Moro masaa mawili?
Mzee ndio mana uliambiwa ni majaribio sasa mbona una crush mapema hivyo
Ndio tunajua nchi yetu bado lakini ukumbuke this is one of the major/biggest project ... just Incase hiyo speed + muda uliotumika utaendela hivyo apo ndio tutasema neno.
Mzee sijamaanisha hivyo [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa huyu Nafikiri Zaidi hataki watu wakosoe