Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Ilishapoa, ingawa inaumizaMoyo wa mtu kichaka. Pole mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilishapoa, ingawa inaumizaMoyo wa mtu kichaka. Pole mkuu.
Ukipata kazi ni rahisi sana duambiwa kuna kazi nyingine za kufanya , usipotuliza akili utayumbishwa na watuHii package ni kubwa,
Hapo ni karibu 600 hivi huwezi sema ni ndogo, nadhani labda hakuwa na akili tu
Nilikuwa najiuliza, kwa nini makampuni makubwa yanaajiri wahindi; ila kwa sasa nimekuja kupata jibu.Kwa kweli vijana ni changamoto Sana kwenye uaminifu....... unaweza kuwa kwenye nafasi nzuri ya kumsaidia mtu lakini ukifikiria uzito wa kumbebea dhamana unaamua bora kuacha maana unaweza kujiletea matatizo.....
Mimi nilishawahi kumuita fundi kibaruani kwangu ili naye apate ridhiki....jioni baada ya kumaliza kazi anataka kutoka walinzi wanapekua begi wanakuta ameiba viatu.....
Kwa kweli niliona aibu sana......
Nadhani pia labda tatizo la ujanaKwa mtu professional na mwenye akili timamu, anajua maana ya smooth transition kwenye ajira.
Pia anafahamu kua kuacha kazi ni haki ya mtu ila lazima lifanyike kwa namna ambayo anayeacha na anayeachwa wote wawe salama kwa maana ya wako aware kwa kupeana taarifa iwe informal au formal lakini IFAHAMIKE.
Unayedhani kua ukilipwa pesa ndogo ndo kigezo ukurupuke kama.ngiri kichakani jua wazi mawazo yako si ya kitaalamu unajiwazia tu.
Na hili huwa ni tatizo la watu wengiUkipata kazi ni rahisi sana duambiwa kuna kazi nyingine za kufanya , usipotuliza akili utayumbishwa na watu
Najua Inauma sana maana umewekeza pesa kwa mtu halafu anaacha kazi kiuni.Ilishapoa, ingawa inaumiza
Hata sio mshahala mdogoInawezekana ikawa hivyo, kwa sababu alikuwa akipokea 350, amelipiwa kwa kukaa, na anakula bure kuanzia asubuhi mpaka jioni
Mambo ya kuoneana huruma kwenye ajira yapo Afrika tu, Kwa vile ajira ni ngumu kupatikana.Kwa mazingira hayo, hakuna haja ya kuoneana huruma kwenye ajira
Kutokuwa mkweli, na kuondoka kihuni ni tatizo.Itakuwa alipata sehemu tofauti
Kosa alilokosea ni kushindwa kutoa taarifa kamili .
Hii njia ya kusema anaenda kuuguza inatumika Sana na watu wengi.
Kupitia alivyoondoka kuna kitu nimejifunzaHawo watu wanaharibia vijana wengine kupata kazi/ajira,maana kila atakaekuja unawaza yale yale ya huyo alieondoka gafla.ni bora kuwa na mikataba ya kazi,hata kama ni mlinzi wa geti,mkataba utambana yeye pamoja na wewe mwajiri.
Kabla hujawekeza chochote kwa mtu, Tambua kwamba hata huyo mtu ana plan zake kichwani.Hajatenda haki.
Najua Inauma sana maana umewekeza pesa kwa mtu halafu anaacha kazi kiuni.
Kuna kitu nimejifunza hapa mkuuHata sio mshahala mdogo
Kuna mafala wanapenda sana kuwachukua wafanyakazi wa wenzao kwa kuwalaghai
Mfano mtu akiona una STUDIO kali ya photoshot na video recording ama tigopesa imechangamka anadhani na yeye akifungua atakula maokoto kama wewe
Sasa hapo hao mafala ndo umshawishi atoke ataenda kumuazishia nyingine atamlipa vizuri
Tena utakuata inaongezeka laki tu
Sasa kinachowatokeaga badae huwa nacheka
Wakirudi
wanadhani kuwa biashara ukianza tu un apata faida kumbe mtu biashara unaweza endesha mwaka mnzima bira faida tena wakati mwingine unaingiza na pesa yako ya mshahara au ziada 7bu unajua kuwa unawekeza baada mwaka au miaka 2 ndo upate faida
Sasa wengi udhani wakianzisha faida itakuja kama walivyoplan kwenye karatasi matokeo yakiwa tofauti ugomvi unaanza BIASHARA inakufa then wanabaki kuwa hawana ajira
Mkuu jambo nzuri ajakuibia ilo la kumshukuru MUNGU
Next time ukiajiri mtu mchukulie kuwa ni mfanyakazi term and condition ziende hvyohvyo ukishamchukilia kam ndugu na kisha ukaanza kumpa matumaini kuwa piga kazi kwa bidii baadae mambo yatakuwa manzuri kwa hawa wafanyakazi wa kibongi haswa wakiume tena akiona yeye ndo kiungo muhimu lazimu akutende tu
Huko sahihi huwezi kukaa sehemu milele. Ukiondoka kwa kufuata utaratibu sio tatizo. Tatizo nikuondoka kiuni.Kabla hujawekeza chochote kwa mtu, Tambua kwamba hata huyo mtu ana plan zake kichwani.
Sasa usitarajie kwamba huyo mtu atafanya kazi na wewe milele yote.
Kuna muda utafika na yeye atahitaji kuondoka.
Kwani huyo kijana ameiba?Huko sahihi huwezi kukaa sehemu milele. Ukiondoka kwa kufuata utaratibu sio tatizo. Tatizo nikuondoka kiuni.
Watanzania waliokuwa wengi sio wafanyaji kazi....wao waambie kuiba tu na majungu kaziniNilikuwa najiuliza, kwa nini makampuni makubwa yanaajiri wahindi; ila kwa sasa nimekuja kupata jibu.
Uko sahihi kwa 💯. Hawa vijana wanalia njaa kutwa kucha lakini ili reality ni pasua kichwa sana ukiamua kuwabeba. Hawabebeki. Fanya utaratibu ingiza wahindi mkuu hutajutiaNitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:-
Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT.
Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida.
Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa kwenye eneo fulani katika shughuli zangu, nimuweke pale huku akijishikiza lakini pia anapata kipato kwa kiasi fulani.
Ikabidi nimtumie nauli kule alikokuwa mpaka ofisi ilipo, nikampangishia vyumba viwili, pamoja na kuhakikiha ofisi inamuhudumia chakula kuanzia asubuhi mpaka cha usiku. Muhimu afanye kazi kwa utulivu.
Kweli alikuwa anafanya kazi kwa bidii, mpaka nikaona huyu ndio kijana niliyekuwa nikimtafuta. Kichwani nikawa nampangia malengo ya muda mrefu, ikiwepo namna ya kumboreshea maisha yake kwa sababu nilijua kwa spidi yake ile huko mbeleni nitaanza kupata faida.
Baada tu ya kumpatia mshahara wa mwezi mmoja, siku ya nne akanitumia ujumbe usiku wa saa nane, ya kuwa anaelekea mkoani baba yake ni mgonjwa yuko hoi anaenda kumuuguza kwa hiyo yuko safarini.
Nikaitafakari ule ujumbe,nikajiuliza kwa nini anitumie muda huu wa usiku, na mimi nilikuwa niko mbali, pia hakutoa taarifa kwa msimamizi wake.
Asubuhi nampigia simu zangu, hapokei; kesho yake nampigia simu hapokei tena, ndipo akanitumia ujumbe yuko hospitalini anamuuguza baba yake, ila nikimpigia simu hapokei.
Ndipo nikamwambia dada mmoja awasiliane naye kwa namba ambayo haitambui, akapokea vizuri na akaongea; ndipo nikajua huyu ameacha kazi kiuswahili bila kufuata utaratibu.
Mbaya zaidi, makazi yake nilikuwa nimeshalipia miezi mitatu achilia mbali gharama zingine.
Kwa ujumla alifanya ofisi yangu iyumbe kwa muda; ila nikawa nimejifunza watafuta ajira asa hawa wakiswahili sio watu wakuwaamini sana,ndio maana wengi hawaajiriki.