Waswahili wengi hawaaminiki kwenye ajira

Mkuu hata ccm waliahatuona jinsi tulivyo ndio maana wanajipigia tu wao na familia zao.

Sisi waswahili hatuna maana.
 
Inawezekana ikawa hivyo, kwa sababu alikuwa akipokea 350, amelipiwa kwa kukaa, na anakula bure kuanzia asubuhi mpaka jioni
Mtu aliyetoka kwenye umaskini wa kutupa anaona laku tatu na 50 ni ndogo?
Huyu mtu atakufa maskini hadi atoweke duniani.

Huko alikotoka hata elfu 50 alikuwa hapati.
 
Sasa ulitaka huyo kijana akae hapo forever?

Ni muda wake wakuondoka.

Unapomsaidia mtu usitegemee kwamba atakaa na wewe milele.

Na yeye ana plan zake kichwani.
Shida zake ziliisha ndani ya Mwezi Mmoja?

Huyo alikuwa na demu sasa ile kupata laki tatu kwa pamoja akachachawa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sasa bora ata angekaa miezi mitatu angalau atengeneze cv, sasa mwezi mmoja mbio
Unaajiri Mdada abakuja analia shida, akishapata ajira baada ya mieI miwili tu anakwambia ana mimba. Hapo anataka apatw Excuses za kazi, muda wa kazi na routines zingine.

Hadi unajiuliza hivi hawa waswahili wana akili kweli?
 
Tatizo kubwa ni uvumilivu, lakini ndio hivyo kila mtu na kichwa chake
Wanashinda kwenyw Bongo Fleva wanadanganyana Bora ni Enjoy, maisha mafupi ni simple......Thay think it is real life.

Mafanikio yoyote yanahitaji uvumilivu.

dogo ulimpa mazingira mazuri sana ya kazi.
 
nakuwa na amani nikiingia ofisini au hata dukani nikikutana mtu ambaye sio mswahili mwenzangu,....
 
Wenzako tumezoea! Kuamka asubuhi unakuta Wafanyakazi wako kadhaa wamekublock ni kawaida. Ndiyo maana tunahakikisha tunaajiri na wa akiba ili (wa)akiindoka katika Idara nyeti, taasisi isiyumbe! Ni gharama maana unalipia NSSF, PAYE, WCF etc
 
Ukweli ni kuwa mtu anaondoka kutokana na maslahi. Ila kinachoumiza sisi waajiri ni jinsi ya kuacha kazi. Kawaida unampatia taarifa mwajiri iwe masaa 48 au mwezi etc. Mikataba inambana tu mwajiri si mwajiriwa.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ may be aliona mshahara mdogo
Solution ya mshahara mdogo ni kukimbia mwajiri right?.. Siku hizi kuna graduate wasomi ila mbumbumbu wa kutosha na wengi hawajitambui
 
Bora wewe mkuu hakukuibia. Waswahili siyo waaminifu, ukiwaajiri wanakurudisha nyuma.

Wenye mitaji ya kudunduliza tuna wasiwasi sana na vijana wa kazi wasiturudishe nyuma tuanze upya tena kutafuta mtaji.

Wenzetu mlioajiri, mnawadhibiti vipi vijana wa kazi wasiwaibie?. Kudhibiti kijana wa kazi ni ngumu sana
 
Kuna lingine nimelipambania kwa mwajiri wangu flani wa zamani mhindi mpaka likapata kazi,mshahara 1.1m limefanya kazi miezi mitatu likaanza uvivu mara halitumi reports za watu,siku limeaga kuwa mzee wake huko Bush anaumwa linaenda kuuguza huku nyuma likawa lishawaambia wenzake eti limechoka na kazi hivyo halitorudi..sasa hivi linanijia na story eti kama nina ramani yoyote nilistue na wakati nililipa ramani likaharibu na kunitia aibu juu.
Since then nikajifunza sitokaa nimpigie mtanzania mwenzangu pande sehemu yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ