kkenzki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 1,498
- 2,483
Nyie mtakua shangazi tu, haiwezekani baba ugomvi wa nyumbani kwake ukamshinda yeye akakimbilia ufaranasa kwa Hollande kuomba msaada wa kuishawishi Total. Mmeshapoteza sifa ya kuwa babaHehehe kweli sisi manyangau ndio wenye EAC yaani hadi sasa bado mnakaa vikao mkituskiliza wakati nilidhani mlishafanya maamuzi.
Hadi mtupigie magoti muombe ndio tutaachia.
Yaani ardhi yenu, pesa ashatoa mzungu, Museveni ashaafanya maamuzi ya Tanga lakini bado mnatutgemea tutie saini. Sisi ndio baba wa EAC sasa mama ndio yupi kati yenu.