Tetesi: Wataalam wa Kenya washindwa kutetea mradi wa bomba la mafuta

Mkuu tatizo ni hili.Total ya Ufaransa wenye Pesa Na wachimbaji wa mafuta.Uganda wana mafuta.
Tanzania Na Kenya wanataka mafuta yapitia katika Bandari zao. Uganda walikubaliana Na TZ bomba lipitishwe Bandari ya Tanga.Kenya wanawatonga wa Ganda ili bomba lipitishwe Kenya Bandari ya Lamu.
Kwa kifupi Kenya wana itaka hii dili
Na SISI hatuachii ng'ooooooo
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu.... kama mwenye mafuta kasema yapite Tanga na financier karidhika then Kenya wana lipi lao hapa? Wachape lapa...
 
Ukiungalia huu mradi kiuchumi na kisiasa, Tanzanian route is more advantageous than Kenyan. Hili bomba likipita Tanzania, Rwanda na Burundi nao watanufaika maana itakuwa rahisi kujiunganisha na hilo bomba wakati ambapo likipita Kenya, ni Sudan Kusini pekee ndio watafaidika.

Kenya wangewashawishi Sudan Kusini wajenge bomba la mafuta kupitia Kenya hadi Lamu. Kuwa na mabomba mawili yenye njia tofauti ni faida zaidi kwa EAC kuliko hilo moja ambalo Kenya wanalazimisha lipite kwao.

Vv
Mkuu Vv,
Sikukuelewa, Rwanda na Burundi hawana crude. Wanaigiaje kwenye hesabu za bomba la crude kutoka Uganda kwenda Tanga?
 
Ama kweli wabongo ni watu dhaifu sana kwenye masuala ya biashara za kimataifa. Hili la bomba limedhihirisha mpo hafifu sana, mna timu ambayo inafaa ipewe darasa kuhusu negotiations. Yaani ingekua sisi Wakenya ndio tuna hizo advantage mlizo nazo, hata hatungekua tunajadili chochote. Ni dhahiri kwamba
- Mzungu wa Total ameshaweka tayari pesa za ujenzi wa bomba, wakati sisi tunategemea kukopa
- Tanzania imetoa ardhi bure, wakati sisi tunategemea kununua
- Mkondo wa Tanzania ndio mfupi, wakati sisi kwetu ni umbali sana tena maeneo kame
- Tanzania inayo bandari tayari, wakati sisi hata bandari hatujaanza kujenga
- Tanzania haina tishio la ugaidi, wakati sisi tunachezea mabomu
- Serikali ya Tanzania imefaulu kuwatuliza watu wake kisiasa, wakati sisi tumewahi kung'oa reli inayokwenda Uganda
- Juzi tumeona kwa taarifa Tanzania imeamua kutotoza ada yoyote wala kodi, wakati sisi tumesisitiza lazima Museveni alipie

Yaani naweza andika kurasa nyingi sana kwanini bomba lipitie Tanzania. Ingekua sisi Wakenya ndio tuna advantages zote hizo, hii ni kazi ya kufanywa na mtu mmoja, hata hatungetumia timu kama jinsi Watanzania wamejazana kule Kampala. Mtu mmoja tu kama mimi binafsi naweza kumaliza mchezo.

Watanzania mtazidi kubaki kuwa watu hafifu sana. Mnatia huruma kuona eti mnashabikia wakati hapa hata hapafai kuwa na ushindani.

Franco Zetta unanitaka Crocodiletooth Vyamavingi Susuma BONGE BONGE mwanawao Doto Dotto rais wako zinj
HEKIMA KWANZA Sibonike kkenzki kadoda11
 
Kuna Ukweli nisio weza kuubishia katika thread yako lazima nikubali.
 
Umetoa povu linalo onyesha ni jinsi gani wakenya mnavo tamani kenya ingekuwa tanzania na tanzania ingekuwa kenya.asante kwa comment yako.
 
Hehehe kweli sisi manyangau ndio wenye EAC yaani hadi sasa bado mnakaa vikao mkituskiliza wakati nilidhani mlishafanya maamuzi.
Hadi mtupigie magoti muombe ndio tutaachia.

Yaani ardhi yenu, pesa ashatoa mzungu, Museveni ashaafanya maamuzi ya Tanga lakini bado mnatutgemea tutie saini. Sisi ndio baba wa EAC sasa mama ndio yupi kati yenu.
Mkuu, tunachojali hapo ni undugu na umoja wetu wa EAC. Sisi ni wamoja, kwani kuna ubaya gani ndugu wa familia moja kukubaliana jambo fulani na kulifanya ili kuimarisha umoja wetu? Kila mmoja wetu akianza kujifanyia mambo kivyake basi umoja wetu utadhoofika.
 
Ama kweli wabongo ni watu dhaifu sana kwenye masuala ya biashara za kimataifa. Hili la bomba limedhihirisha mpo hafifu sana, mna timu ambayo inafaa ipewe darasa kuhusu negotiations. Yaani ingekua sisi Wakenya ndio tuna hizo advantage mlizo nazo, hata hatungekua tunajadili chochote. Ni dhahiri kwamba
- Mzungu wa Total ameshaweka tayari pesa za ujenzi wa bomba, wakati sisi tunategemea kukopa
- Tanzania imetoa ardhi bure, wakati sisi tunategemea kununua
- Mkondo wa Tanzania ndio mfupi, wakati sisi kwetu ni umbali sana tena maeneo kame
- Tanzania inayo bandari tayari, wakati sisi hata bandari hatujaanza kujenga
- Tanzania haina tishio la ugaidi, wakati sisi tunachezea mabomu
- Serikali ya Tanzania imefaulu kuwatuliza watu wake kisiasa, wakati sisi tumewahi kung'oa reli inayokwenda Uganda
- Juzi tumeona kwa taarifa Tanzania imeamua kutotoza ada yoyote wala kodi, wakati sisi tumesisitiza lazima Museveni alipie

Yaani naweza andika kurasa nyingi sana kwanini bomba lipitie Tanzania. Ingekua sisi Wakenya ndio tuna advantages zote hizo, hii ni kazi ya kufanywa na mtu mmoja, hata hatungetumia timu kama jinsi Watanzania wamejazana kule Kampala. Mtu mmoja tu kama mimi binafsi naweza kumaliza mchezo.

Watanzania mtazidi kubaki kuwa watu hafifu sana. Mnatia huruma kuona eti mnashabikia wakati hapa hata hapafai kuwa na ushindani.

Franco Zetta unanitaka Crocodiletooth Vyamavingi Susuma BONGE BONGE mwanawao Doto Dotto rais wako zinj
HEKIMA KWANZA Sibonike kkenzki kadoda11
Labda tu nikuulize maana Mtu wa huko kwenu kuifavour T'zania it's unbelivable,nini kime kupush? wewe ni wa opposition party there or una blood relation katika T'zania?
 
Kuna Ukweli nisio weza kuubishia katika thread yako lazima nikubali.

Bora wewe umeonekana kuelewa, ukweli wa huu ushindani ni kwamba hapahitaji ushindani maana kila advantages zipo Bongo. Ni kama kucheza soka kwenye uwanja ambao kama mlima, goli la mshindani wako liko kule juu wakati la kwako liko chini.
 
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu.... kama mwenye mafuta kasema yapite Tanga na financier karidhika then Kenya wana lipi lao hapa? Wachape lapa...
Hao manyang'au wanataka kuziba riziki yetu.Lakini hiyo ndio Sheria ya biashara ya kumgombania mteja.
 
Umetoa povu linalo onyesha ni jinsi gani wakenya mnavo tamani kenya ingekuwa tanzania na tanzania ingekuwa kenya.asante kwa comment yako.

Upo sahihi sana kadoda11 yaani tungekua na hata robo ya raslimali mlizonazo, tungeitawala hii Afrika. Tuwe tu hata na vitalu viwili. Aki ya nani hii Afrika ingetutambua, sasa hivi tuna nchi ndogo halafu nusu yake ni kame, tunachezea mabomu ya Alshabaab lakini pamoja na yote, tunaongoza EAC yote kwa kila kitu.
 
Sielewi Kenya wanapata wapi jeuri ya kukwamisha project hiyo. Wenye mafuta ni waganda, wenye hela ni wafaransa. Which means wana uwezo kusema wanataka bomba lao lipite kokote. Hata wakiamua lipitie SA. Vinginevyo, labda kuna mkataba wa awali kati ya Kenya na Uganda.
 
Ama kweli wabongo ni watu dhaifu sana kwenye masuala ya biashara za kimataifa. Hili la bomba limedhihirisha mpo hafifu sana, mna timu ambayo inafaa ipewe darasa kuhusu negotiations. Yaani ingekua sisi Wakenya ndio tuna hizo advantage mlizo nazo, hata hatungekua tunajadili chochote. Ni dhahiri kwamba
- Mzungu wa Total ameshaweka tayari pesa za ujenzi wa bomba, wakati sisi tunategemea kukopa
- Tanzania imetoa ardhi bure, wakati sisi tunategemea kununua
- Mkondo wa Tanzania ndio mfupi, wakati sisi kwetu ni umbali sana tena maeneo kame
- Tanzania inayo bandari tayari, wakati sisi hata bandari hatujaanza kujenga
- Tanzania haina tishio la ugaidi, wakati sisi tunachezea mabomu
- Serikali ya Tanzania imefaulu kuwatuliza watu wake kisiasa, wakati sisi tumewahi kung'oa reli inayokwenda Uganda
- Juzi tumeona kwa taarifa Tanzania imeamua kutotoza ada yoyote wala kodi, wakati sisi tumesisitiza lazima Museveni alipie

Yaani naweza andika kurasa nyingi sana kwanini bomba lipitie Tanzania. Ingekua sisi Wakenya ndio tuna advantages zote hizo, hii ni kazi ya kufanywa na mtu mmoja, hata hatungetumia timu kama jinsi Watanzania wamejazana kule Kampala. Mtu mmoja tu kama mimi binafsi naweza kumaliza mchezo.

Watanzania mtazidi kubaki kuwa watu hafifu sana. Mnatia huruma kuona eti mnashabikia wakati hapa hata hapafai kuwa na ushindani.

Franco Zetta unanitaka Crocodiletooth Vyamavingi Susuma BONGE BONGE mwanawao Doto Dotto rais wako zinj
HEKIMA KWANZA Sibonike kkenzki kadoda11
kama mnayajua hayo kwa nini mnakataa kusaini makubaliano?
 
Mwambie Katibu mkuu wenu amwage wino watu waendelee na maisha. Halafu ni kwanini mlibadilisha route ya mwanzo na kuanza kuongea route ya Mombasa? time wasting.

Oh, nimesahau, hivi si mlisha sign makubaliano kama miaka 2 iliyopita? what happened? Msalimie Angel Merkel.
 
Makubaliano tulisaini miaka miwili iliyopita, lakini mwenye hela Total amesema vinginevyo, hivyo hatuwezi shindana naye. Hapa nashangaa yaani mnapoisifia kwamba nyie mnaelekea kushinda, yaani hapa ushindani ni upi. Mnipe kazi ya kuwatetea muone hata siku moja haitaisha kama hatujafunga huu ukurasa. Jameni Watanzania muwe watu wa kujituma.

Hebu leo mnipe kazi ya kutangaza japo hata kivutio kimoja kwenu.
 
Why should this issue be discussed by none than the Ugandans in the first place? It beats my brains. Will Kenya force Uganda to accept their route? nonsense!
 
Ukiungalia huu mradi kiuchumi na kisiasa, Tanzanian route is more advantageous than Kenyan. Hili bomba likipita Tanzania, Rwanda na Burundi nao watanufaika maana itakuwa rahisi kujiunganisha na hilo bomba wakati ambapo likipita Kenya, ni Sudan Kusini pekee ndio watafaidika.

Kenya wangewashawishi Sudan Kusini wajenge bomba la mafuta kupitia Kenya hadi Lamu. Kuwa na mabomba mawili yenye njia tofauti ni faida zaidi kwa EAC kuliko hilo moja ambalo Kenya wanalazimisha lipite kwao.

Vv

Ila Kenya yataka ichukue kila kitu!
 
Waganda nao wanakuwa kama mafuta sio yao.Nlitarajia waamue mapema,kwenye maisha hauwezi mfurahisha kila mtu siku zote.Wapime facts kisha waamue haya mambo ya vikao visivyoisha ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom