Tetesi: Wataalam wa Kenya washindwa kutetea mradi wa bomba la mafuta

Bomba linapita Tz, whether you sign or not. EAC ya leo si ya jana, kila mtu mjanja.

Mtaisoma namba.
 
Kenyans are fake!


Nyie mtakua shangazi tu, haiwezekani baba ugomvi wa nyumbani kwake ukamshinda yeye akakimbilia ufaranasa kwa Hollande kuomba msaada wa kuishawishi Total. Mmeshapoteza sifa ya kuwa baba

Wapi mliwahi kupigana vita hadi mjiite baba? Tanzania imepigana Mozambique, Angola, Namibia na Uganda.
Nyie the most ni hapo Somalia na mnapigwa kila siku na majambazi wa AlShabab. Baba huenda vitani na mama hubaki nyumbani

Siku zote Watanzania wamekuwa wanaambia hawa jirani kwamba Watanzania sio watu wa kujitapa na kujitangaza kila pembe ya dunia, na ukimya wao sio kama hawajui kitu, sasa wataisoma number huko huko kwa M7.


hapo ndipo ninapoikubali serikali. hii mpya.JPM+MHONGO hapo lazima Kenya wakae.


Now Tz tuna waziri wa nishati na madini mwenye akili timamu, anaejua kuchangamkia fursa. Big up Muhongo

Ama kweli wee ni nyangau. TUTAJUA BABA NA MAMA NI YUPI BOMBA LITAKAPOANZA KUJENGWA. Atakayeshindwa kuchukua huu mradi atakuwa kaliwa kwa hiyo atakuwa mama.

Tusubiri tu wee nyangau muda utasema.




Na Lamu kwenyewe hakuna bandari ndio wanadai wataijenga na hela hawana, wakati Tanga bandari tayari ipo.

Mwl. Nyerere alipowaita nyang'au hakukosea na aliona mbali. Tusishangae hawa jamaa wakivunja tena jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ahsante kwa ufafanuzi mkuu.... kama mwenye mafuta kasema yapite Tanga na financier karidhika then Kenya wana lipi lao hapa? Wachape lapa...
Bomba nitapita tz
 
Nani kasema nyinyi ndio wenye EAC kweli nyang'au atabaki nyang'au.

Umeshindwa hata kuelewa dhima ya vikao hivyo.

Hapo tunataka free and fair trade njoo na facts za kusupport adhma yenu kwamba mradi upite kwenu na sisi tumekuja na zetu.

Then tunawapiga bao halafu mnalialia mnajifanya mnagoma kawa mwanamke alienyimwa unyumba.

This is TANZANIA your elder brother so Kenyans behave yourself.
 
Mshashindwa kwenye dili hii, mlijiona wajanja sana, mambo yamebadilika sasa, Tz imeamka.

Total ndio mwenye hela Kenya hawawezi kusema chochote,

Tz inasonga mbele.
 

MK2 Hata kama una haki katika baadhi ya unayoyasema, lakini nakuomba urejee kidogo historia. Kenya iliachwa vizuri mno na mkoloni kuliko nchi yeyote Afrika ukitoa Afrika Kusini. Hata Kenyatta siku aliposhika madaraka aliwashukuru Waingereza kwa kuicha Kenya " hatua kumi mbele ya nchi za Afrika"
Tanzania imejijenga yenyewe from the scratch. Sitaki kufanya excecuses, lakini kuna sababu za Kihistoria (pia) katika kuchelewa kwa Tanzania. Ila tumeziongeza kwa kuwa na siasa mbaya na viongozi bongo lala.
 
Mimi nisicho elewa kwa nini Serikali ya Uganda inaonekana haina msimamo thabiti, inaendela ku entertain Wakenya wanao move goal post kila kikao - Waganda wanashindwaje kuwaeleza ukweli Wakenya, wanawaogopa nini?
 
Wakenya walishazoea kutuburuza kama misukule yao..hiki wanachokiona sasa ni kigeni kwao.wanaona jini kachomoka kwenye chupa!!sioni mwisho mwema wa mahusiano yetu.lakini acha iwe hivyo..si majirani wema hawa.
 
M
Kenyans are fake!

Mkuu kama wangekuwa fake Musevini angeisha watimua, sasa mbona bado wapo wanapigana kufa na kupona kunyakua mradi huu, hawa watu wametufundisha kitu kimoja nacho ni kuwa aggresive at all times, haya mambo ya kubweteka na kufikiri mambo yatajipa eti kwa kuwa Tanzania na Uganda na marafiki, mawazo hayo potofu hayawezi kutufikisha mbali hata kidogo.

Mwisho wa siku tutakuja gundua kwamba pamoja na utani wa MK 254 mambo mengi anayo yasema yana ukweli ndani yake.
 
wakenya kweli kabisa mnaongoza EAC kila kitu hadi kupigwa na wake zenu pia mnaongoza, ha ha haaaaaaaaaa
 
Bora wewe umeonekana kuelewa, ukweli wa huu ushindani ni kwamba hapahitaji ushindani maana kila advantages zipo Bongo. Ni kama kucheza soka kwenye uwanja ambao kama mlima, goli la mshindani wako liko kule juu wakati la kwako liko chini.
Mkuu. Cant you just be wise japo kwa siku moja?
Unadhani haya unayoyaandika huku unaijengea nchi yako picha gani?

Inaonekana ni MTU mzima sana ila unaendeshwa na mihemko na sio utashi,
Unaambiwa Kenya kushirikishwa ni Busara tu hasa ukizingatia ni mradi unaohusisha nchi za Jumuiya moja. Yaani mzee mzima unafurahia kukwamisha mambo. Shame!!
And for this attitude of yours,
EAC will never be one Nation.
 


mapovu mengi ningekuona wa maana kama bomba mgeweza kupitishia kenya wala hujui kua hii dili mlipewa nyinyi na mkasainishana na MoU ila magufuli kawanyang'anya tonge mdomo within a single day alivyokutana na museven na wakasaini na MoU sasa nyie mmeshindwa kuwashawishi waganda kwa miaka miwili ila magufuli kafanya kwa siku moja acha bla blah wakati hujui nyie ndo losser katika hii issue
 
Mkuu Vv,
Sikukuelewa, Rwanda na Burundi hawana crude. Wanaigiaje kwenye hesabu za bomba la crude kutoka Uganda kwenda Tanga?

Wanaweza kujenga Refinery Rwanda na kurefusha bomba hadi Burundi na East DRC. Kwao itakuwa economic viable maana ni karibu zaidi na source ya visima vya mafuta kuliko kuagiza mafuta yaliyosafishwa kutoka Uarabuni.

Vv
 
Wanaweza kujenga Refinery Rwanda na kurefusha bomba hadi Burundi na East DRC. Kwao itakuwa economic viable maana ni karibu zaidi na source ya visima vya mafuta kuliko kuagiza mafuta yaliyosafishwa kutoka Uarabuni.

Vv
Kama Rwanda inajenga refinery bado Hoima-Tanga haiingii kwenye hesabu zao. Wanavuta bomba kutoka Hoima kwenda kwao bila involvement ya tanzania. Angalia ramani tena.
 
Kama Rwanda inajenga refinery bado Hoima-Tanga haiingii kwenye hesabu zao. Wanavuta bomba kutoka Hoima kwenda kwao bila involvement ya tanzania. Angalia ramani tena.

Haya mambo mnayoogea hayapo kabisa,Refinery inajengwa uganda na 60% share itakuwa ni ya mwekezaji ambaye tayari Total ameshasema atajenga na 40% itakuwa ni ya government pamoja na wadau wengine kama vile serikali ya Kenya ambayo imeshatoa 10bn kama 2.7% ya share.

Rwanda,burundi,DRC na Tanzania tutatarajia kupata refined oil kutoka uganda kufikia mwaka 2020 hiyo plant itakapokamilika.
 
Sisi tunafuata itifaki kwa sababu wote tuko ndani ya EAC na hawa Kenya wanahusishwa tu only because walishaongea na kutaka kufanya hii project na Uganda lkn Uganda na Total walipokuja kufanya feasible study wakaona route ya Kenya haifai.
 

Duh haya mapya..hivi kati ya Kenya na ethiopia ipi ni nchi ambayo haina resources ????....
Guess mnacheza league moja so,kuna nchi hazina advantage kama zenu lakini bado katika maendeleo hamuwakamati

hivyo, what is the proper name to call you than bunch of loosers who always search for excuses to justify their failure..

Kama hizo resources chache mmeziweka katika kizazi cha viongozi seuze kuwa na akili ya kuicontrol africa!!!!!...kumbuka bila ya umaskini wenu hiyo innovative mind msingeipata...

Wakenya huwa nawapenda kama ndugu ila dharau zenu zinatuchosha..hebu jilinganisheni na wanajangwa wenzenu mlioendelea
 
Mimi nisicho elewa kwa nini Serikali ya Uganda inaonekana haina msimamo thabiti, inaendela ku entertain Wakenya wanao move goal post kila kikao - Waganda wanashindwaje kuwaeleza ukweli Wakenya, wanawaogopa nini?
Msimamo wa Uganda ulisababishwa na ubabaishaji wa Mkwere. Toka mwanzo, Tanzania ingekuwa makini wala tusingekuwa na huu mjadala. Museveni alikuja Tz kwa suala lakini Mkwere hakufuatilia. Safari zake ndiyo matunda yake hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…