Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Wakati wataalamu na watabe katika kada ya afya kutoka mataifa mbalimbali duniani wakipambana kutafuta dawa ama kinga dhidi ya kirusi Corona, nataka kufahamu kuhusu hawa madaktari bingwa tena watabe kwelikweli kutoka Tanzania wao wamefikia hatua gani ya kiutafiti?

Je, tutegemee lolote kutoka kwao? Ama na wao wanasubiri Ulaya na Marekani zipate tiba ama chanjo kisha waje vifua mbele kuelezea matumizi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akina KIGWANGALA na wenzake, JIWE kawateua wataalamu kwenye siasa, unategemea nani afanye tafiti?
Dr Mwele Malechela aligundua ule ugonjwa unaoua sana Congo DRC, akatangaza, akafukuzwa kazi
unataka kutuambia kigwangala kuna kitu anaweza gundua kwenye sekta ya tiba
 
Salaam,

Chini ya wizara ya afya, kuna taasisi ya tafiti za magonjwa ya binadamu nchini yaani NIMR.

Hii taasisi imekuwa mfu kwa muda mrefu, magonjwa mbalimbali yanatokea lakini hawasikiki kabisa, kuleta majibu dhidi ya mafumbo ya magonjwa yanayowakabili binadamu wa Tanzania.

Wanahangaika na malaria tu, ambayo nayo hatujui hasa wamefikia wapi.

Rais wa sasa ni mwanasayansi mkemia, lakini kabobea kwny siasa, taasisi kama hizi za tafiti zimedorora sana, hakuna msukumo wala muamko wa sayansi.

Toka janga hili la CORONA, lianze duniani wapo kimya kabisa kama vile wamesomea mambo ya Umeme yaani hawana tofauti na TANESCO hasa katika wakati huu kirusi COVID-19 akinyanyasa Dunia, wameufyata hakuna kutoa elimu hata kuelimisha wanainchi kwa miradi midogo tu ya kutoa elimu.

HAWASIKIKI!

NI AIBU YA TAIFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kluger,
Muulize Jiwe lini ametoa hela za utafiti, acha hela ndogo za up keep ya taasisi! Utafiti ni hela, waulize wamarekani wanatumia bajeti gani kwa utafiti
 
Tuko fieldini tukiendelea na utafiti. Tutakuja na majibu pindi Corona itakapoisha.
 
Watafiti watanzania ni wakugawana pa DM nakuishi kwenye mahotel makubwa!
Jiwe anawajua vizuri ndo maana kawachunia,
Hebu nitajie tafiti iliyoleta matokeo chanya ktk sekta ya afya! Mbu tu zimewashinda wanaleta kupuriza dawa badara ya kufanya utafiti wanamna ya kuthibiti uchafu na mfumo wa maji taka. Nimri ni genge la wapigaji.
 
Ndio maana jiwe kaamua kuwasikiliza wavumbuzi wadogowadogo wasio na elim.
Nimri ilikuwa ni uchochoro wa kupigia hela za serikari na kundi lililotumiwa na mabeberu kutukandamiza
 
Unatakka yawakute ya Mwele malecela?
Dr Mwale Malecela alitangaza uwepo wa homa ya ZICA, basi alishukiwa kama mwewe na Waziri wa Afya na muda mchache baadae mamlaka yake ya uteuzi ikatwaa dhamana waliomkabidhi.

Bahati yake alipata kazi kwenye moja ya mashirika ya kimataifa vinginevyo angekua anasaga lami hadi leo hii. Sasa mtu gani wa NIMR atakua na "kiherehere" cha kuongea lolote kuhusu COVID-19?
 
Better for them shutting up their big mouths kuliko kudja kutudanganya

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Nakuunga mkono, maaana ya NMR NI TAASISI YA TAIFA YA KIUTAFITI ILIPASWA KUWA NA TAFITI MBALIMBALI LAKINI NINAUHAKIKA HAIJAWAJI FUMBUA DAWA HATA MOJA HAHAHAHA WAJITAFAKARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom