Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

Wataalam wetu wamefikia hatua gani kuhusu kinga ama tiba ya Corona?

Huyu Mkenya kasema ukweli tusisingizie pesa kwenye ugunduzi wa dawa mfano Aspirin na Chloroquine ambayo inawezekana kabisa ikaja kutumika kutibu huu ugojwa zimegunduliwa miaka ya 1930’s sasa na technologia yote ya siku hizi wataalamu wetu wako wapi wanapenda kuheshimiwa sana na kuwaita Dr.... sasa ugojwa umekuja na wenyewe ni kama sisi🤔.
 
Piga Chloroquine zako zile dose za zamani ......
 
Ndio wanajiitaga madokta
Wametulia kimyaa
Virus amekuja kuwafanya hamna. Muhi2 na wenzake wapo kimya
Wale ma-TO wanaosifiana kila uchao siwaoni. Dozi imewaingia
Sasa wamebaki kuvaa maski tu. Mishahara wanalipwa vizuri kuliko walimu
 
vipanga ivi ni wale walopata first class ama GPA ya 5/5?
 
Hìi ni dunia ya Mungu na kila kitu ni cha mzungu wacha tusubirie dawa....
Alie leta kirusi atuletee na dawa sasa.

Nawashangaa sana wanao dis wazungu wakati na wao maskio juu wanasubiria kuskia vaccine imepatikana kutoka kwao.
 
Mada kama kama hii ni uthibitisho kuwa ujinga nao ni tatizo kubwa kama Corona yenyewe.
 
Huyu Mkenya kasema ukweli tusisingizie pesa kwenye ugunduzi wa dawa mfano Aspirin na Chloroquine ambayo inawezekana kabisa ikaja kutumika kutibu huu ugojwa zimegunduliwa miaka ya 1930’s sasa na technologia yote ya siku hizi wataalamu wetu wako wapi wanapenda kuheshimiwa sana na kuwaita Dr.... sasa ugojwa umekuja na wenyewe ni kama sisi🤔.
View attachment 1405503



Tumefundishwa paper works only na ndipo mahala ambapo uwezo wetu wa akili umefikia, manbo ya researches ni mambo yaliyo kwenye akili za Wazungu na sio akili za waafrika.
 
Yaani tatizo ambalo limeshambulia kwa kiasi kikubwa tena kwa fedheha nchi ambazo ni nguli upande wa teknolojia ya madawa. USA, China, india mpaka sasa hakuna matumaini yoyote

India ndio wajanja wa hizi mambo za madawa lakini hali imekuwa tete wamebaki kuchapana viboko kama wanafunzi wa primary hakuna tumaini lolote

Hawa madaktari wetu tunaoshinda nao kwa mtogole unategemea watafanya nini, ebu tuwasamehe kwa ilijambo corona sio ishu ya mchezo

Mimi naamini achilia mbali madaktari wetu kutibu hata kupima na kubaini hii ni korona wengi hawawezi




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Thread humu ilikua inatembea ni yupi lecture bora wako chuoni, wapo wengi walisifiwa mpaka ukawa unazan wanaeza gundua moyo.

Kila mmoja anamsifia lecture wake kuwa alikua bora balaa wakati wa ufundishaji, sasa Leo najiuliza wapo wapi hao Madaktari malecture waliokua wanaonekana bora darasani. Wapo wapi wasigundue dawa ya kutibu Vimafua tu mpaka tunakufa?. Wameshindwa nini kufanyia kwa vitendo Yale ambayo waliokua wakifundisha mpka wanatoa supp mtu akishindwa.

Imagine unakumbuka ticha alikufelisha kisa umesaau meaning of virus na characteristics zake lkn ticha huyo huyo mpaka Leo nae anajifungia ndani anaogopa eti virus ni ajabu. Hebu mtag Profesa au lecture ambae alikua anajifanya anaijua topic ya Virus lkn Leo kajifungia ndani kisa mafua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Thread humu ilikua inatembea ni yupi lecture bora wako chuoni, wapo wengi walisifiwa mpaka ukawa unazan wanaeza gundua moyo. Kila mmoja anamsifia lecture wake kuwa alikua bora balaa wakati wa ufundishaji, sasa Leo najiuliza wapo wapi hao Madaktari malecture waliokua wanaonekana bora darasani. Wapo wapi wasigundue dawa ya kutibu Vimafua tu mpaka tunakufa. Wameshindwa nini kufanyia kwa vitendo Yale ambayo waliokua mpka wanatoa supp mtu akishindwa. Imagine unakumbuka ticha alikufelisha kisa umesaau meaning of virus na characteristics zake lkn ticha huyo huyo mpaka Leo nae anajifungia ndani anaogopa eti virus ni ajabu. Hebu mtag Profesa au lecture ambae alikua anajifanya anaijua topic ya Virus lkn Leo kajifungia ndani kisa mafua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako umesoma hafu hujui Daktari anayetibu magonjwa ya binadamu kazi yake nini na wale waliosoma Molecular Biology kazi yao nn
 
Funds mkuu, unaweza ukawa na proposal nzuri ukaomba fungu toka serikalini ufanyie kazi ukatoka patupu na unajua issues kama izo zinahitaji pesa nyingi moo.


Kama serikali haitoi pesa zipo taasisi na vyuo na makampuni ya nchi za nje hasa Ulaya na America ambayo yako tayari kutoa Funds kwa shughuli za researches, kinachotakiwa ni wewe kupeleka Proposal zako tu.

Maprofesa na wataalamu wetu ni wazuri katika kukariri Paper Works tu, lakini kwenye vitendo na uhalisia ni sufuri tofauti na Maprofesa wa Ulaya na nchi zingine.
 
Back
Top Bottom