Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,988
- 30,183
Halafu anakupa supp eti kisa umekosea tabia ya Virus kumbe nae hollaSio Tz tu Africa nzima madokta walisoma history ya science
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anakupa supp eti kisa umekosea tabia ya Virus kumbe nae hollaSio Tz tu Africa nzima madokta walisoma history ya science
Na kuunga mkono siasa ndo zaoKama serikali haitoi pesa zipo taasisi na vyuo na makampuni ya nchi za nje hasa Ulaya na America ambayo yako tayari kutoa Funds kwa shughuli za researches, kinachotakiwa ni wewe kupeleka Proposal zako tu.
Maprofesa na wataalamu wetu ni wazuri katika kukariri Paper Works tu, lakini kwenye vitendo na uhalisia ni sufuri tofauti na Maprofesa wa Ulaya na nchi zingine.
Madaktari wa Bongo hata kusikiliza Mgonjwa ni tabu. Anataka ujieleze briefly aite mwingine Siku iishe. Wale wa JkCI ndio at least nawapa Bravo. Wako makini.Halafu anakupa supp eti kisa umekosea tabia ya Virus kumbe nae holla
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nitafute pesa ili siku moja niwadhaminiFunds mkuu, unaweza ukawa na proposal nzuri ukaomba fungu toka serikalini ufanyie kazi ukatoka patupu na unajua issues kama izo zinahitaji pesa nyingi moo.
Hawana lolote hao kazi yao kukariri tu bila kujaribu kuzama dipu. Wanajifanya wanafundisha utazan wanaelewa kumbe ndo hivyoDuh mkuu hivi unajua hata kazi ya madaktari au unaandika tu.. nani alikwambja kazi ya madaktari ni kugundua chanjo au dawa za kutibu magonjwa??
Ungeeleweka kama ungesema hao madaktari waandike treatment guideline nzuri yenye ku-cover kila sehemu na ambayo ni applicable kwa mazingira yetu ya kutibu mliouko uliopo..
NB: kabla ya kuandika kitu jaribu kufanya uchunguzi kidogo usije onekana kituko mbele ya watu..
Eti proposal.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Funds mkuu, unaweza ukawa na proposal nzuri ukaomba fungu toka serikalini ufanyie kazi ukatoka patupu na unajua issues kama izo zinahitaji pesa nyingi moo.
Kabisa mpaka najiuliza wanaenda kufanyaga nini vyuoni?Cha ajabu hata wale wa Ph.D za maabara na madawa wanasubiri lockdown na wabaki nyumban tu badala ya kwenda maabara kufanya uchunguzi shame on them.....
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asante Mkuu kwa kuleta ufafanuzi mujarabu kabisa tatzo kuna baadhi wanataka kuwatetea hao maprofesa na wanazan hili bandiko limekuja kwa ajili ya kuwadhalilisha hapana ni kuleta changamoto ya uwepo wao na elimu yao katika reality.Kuna vituo vipatavyo 48 dunia nzima ambavyo vimejichimbia ardhini kutafiti tabia ya virusi vya Corona ikiwemo utafiti unaolenga kutengeneza dawa za kinga dhidi ya COVID-19.
Hapa kwetu tumepewa orodha ya vituo vipatavyo vitatu au zaidi vinavyojishughulisha na wagonjwa wanaobainika kuwa na ugonjwa huu hatari uliozua taharuki dunia nzima. Tanzania kama zilivyo nchi nyingine Duniani tuna watu waliobainika kuwa na virusi hivi na tayari tuna mgonjwa mmoja ameishafariki kwa ugonjwa huu.
Kwa kuwa tuna maabara inayoweza kugundua uwepo wa virusi vya aina hii mwilini, ni wazi tu kuwa maabara hii ina sampuli za kutosha kuweza kufanyawa utafiti wa virusi hivi kama baadhi ya nchi zilizoko mstari wa mbele hivi sasa. Ni wakati sasa wataalamu wetu walioko Mloganzila kuingia kazini kutafuta undani wa virusi hivi ambavyo vimeichanganya Dunia.
Kuna watu huko nchi za mbali hawalali hivi sasa, wameiona fursa na wanahangaika kupata angalau fununu ya ugonjwa huu, maabara wanazotumia kutafiti hazina tofauti na hizi tulizonazo sisi. Kinachotakiwa ni kutengeneza vitalu vya utafiti na kuusoma mwenendo wa virusi hivi.... Uwezekano huo upo,maana sampuli zipo na watafiti huko vyuoni wapo pia. MMC huu ndio wakati wa kufanya kitu!.Asante Mkuu kwa kuleta ufafanuzi mujarabu kabisa tatzo kuna baadhi wanataka kuwatetea hao maprofesa na wanazan hili bandiko limekuja kwa ajili ya kuwadhalilisha hapana ni kuleta changamoto ya uwepo wao na elimu yao katika reality.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani sio busara kuwalaumu, research zinahitaji pesa je ni kiasi gani serikali imetenga kwa ajili ya tafiti?Hakuna wakati muafa na Mzuri kama huu kupindua Msimamo wa Hali ya Umasikini Afrika.
Hii ilikua ni moment Moja tu yakurejesha Heshima kwa wa Afrika na Watu wake.
Hii Ingetokea tu kama Tungekuwa na Wanasayansi Nguri na Wabobezi wakaisaidia Dunia Kugundua na Kuzalisha Dawa ya hii COVID-19. Leo hii tungekua Tunaombwa Msaada na Marekani na Big Powers wote. Hapa na Sisi ndio Tungewawekea Masharti Magumu kama wao wanavyotumiaga Shida Zetu Kujinufaisha.
Labda Ingekua enzi za kinaa Mwanamalundi wangefanya kitu hapa.